ابحث في فهرس WhatsAd لمجموعات واتساب للعثور على الأفضل.
نتيجة واحدة في فهرس مجموعات WhatsAd
[link hidden — subscribe to view]
رابط دعوة موثّق وتفاصيل الأعضاء وخيارات الإعلان على WhatsAd.
*TARATIBU ZA KITUX PIG FARMS & FEEDS GROUP* *KARIBUNI WOTE* Group hili ni Maalumu kwa Ajili ya Masuala yanayohusu Ufugaji wa Nguruwe tuu kwa Lengo la Kuwawezesha Wafugaji Kupata Uelewa *BURE BILA MALIPO Ambapo Kitux Pig Farms & Feeds HUANDAA MASOMO MBALIMBALI YANAYOHUSU NGURUWE NA KUFUNDISHA HUMU BURE* Wanagroup wote Wanaruhusiwa Kuleta Mada, Kuuliza Maswali na Kutoa Michango ya Uzoefu katika Tasnia ya Ufugaji wa Nguruwe Bila Kuharibu Makatazo ya Group Hili. Lengo saidizi ni Kuelezea Chakula cha Nguruwe ambacho ni Mlo Kamili ambapo Chakula hiko Kinatengenezwa na Kitux na Kinajukikana kama *MLO KAMILI WA NGURUWE-CHAPA KITUX ambapo Huwa Maelezo ya Kuhusu Mlo huu Hutolewa kupitia Group hili ili wafugaji Waelewe faida zake* Kwa Yeyote aliyejiunga au Kuungwa anaruhusiwa Kutangaza au kutuma Kitu chochote au Tangazo Lolote Linalohusiana na Nguruwe Kama Dawa, Vifaa, Mbegu za Wanyama, Nyama n.k. Baada ya Kupata Idhini ya Maadmin wa Group Hili. *HAIRUHUSIWI Mtu Yeyote Kutuma Vyakula au Kitu Chochote Kinachohusiana na Chakula cha Nguruwe ambacho ni aina Nyingine tofauti na MLO KAMILI WA NGURUWE-CHAPA KITUX* Lugha za Matusi na Mambo yanayoendana na Hayo Hazitakiwi,, Tujadili Mambo yanayohusu Nguruwe tuu Ukikiuka Taratibu hizi Admin atakuondoa kwa ajili ya Amani na Usalama wa Kundi hili *Ahsanteni na Karibuni Sana*