ุงุจุญุซ ูู ููุฑุณ WhatsAd ูู ุฌู ูุนุงุช ูุงุชุณุงุจ ููุนุซูุฑ ุนูู ุงูุฃูุถู.
ูุชูุฌุฉ ูุงุญุฏุฉ ูู ููุฑุณ ู ุฌู ูุนุงุช WhatsAd
0748287628 *๐๐ธโ๐โ๐ โ๐ธ ๐๐ธ๐โ๐ธโ๐๐ ๐๐ธ ๐พโ๐๐โ ๐๐ผ๐๐ ๐๐ธ ๐๐๐๐ป๐๐๐ฝ๐ผ ๐๐๐โ๐* A:WILDLIFE STORY NI GROUP LINALOJADILI HABARI ZINAZOHUSU WANAYAMA PORI NA MAZINGIRA KWA UJUMLA. B: PIA GROUP LETU LINAHUSIKA NA HABARI MPASUKO (BREAKING NEWS) NA MATUKIO MBALIMBALI YA SAMPULI HIYO NDANI NA NJE YA NCHI. *KANUNI/MASHARTI.* *1. (a)Ni Marufuku kutuma Matangazo ya biashara, bidhaa, au huduma binafsi isipokuwa yatolewe ruhusa na wasimamizi wa kundi.* *( b)ni marufuku kutuma. link ya mtandao wowote ule kwenye group hili.* *2.Ni marufuku kutuma Picha na Video za utupu(ร).TumaPicha na video zinazohusiana na wanyama na mazingira tu ndizo zinazokubalika.* *3. Hairuhusiwi kutuma na kueneza habari za uongo, uvumi, au taarifa zisizo na vyanzo. Hakikisha habari zote unazotuma zimethibitishwa.* *4. Ni Wajibu kwa kila member (mwanagroup)kuheshimu mwenzake na usitume matusi, lugha za matusi, au ujumbe wenye chuki au ubaguzi kwa mwenzako.* *5. Huruhusiwi kuchukua au kusambaza taarifa binafsi za washiriki (wanagroup)bila ruhusa.* *6. Mawasiliano ya Faragha ndani ya kundi hayaruhusiwi. Masuala binafsi na mawasiliano yasiyohusu kundi yafanyike nje ya kundi.* *7. Kuheshimu Wasimamizi (MA ADMIN): Fuata maelekezo ya ma admin na heshimu uamuzi wao kwa maslahi ya kundi.* *8. Ni ruksa kila mwanagroup kutoa Mchango ndani ya group: Lengo kuu liwe kutoa na kueneza elimu na kujenga jamii yenye uelewa kuhusu wanyama na mazingira.* *9. Hairuhusiwi kivyovyote vile kutuma picha au video zenye zimeundwa kwa kutumia akili nemba (AI), sababu kuu ni kuhimiza tasnia ya WILDLIFE na kundi la WILDLIFE STORY lisalie katika uhalisia wake. Kosa la kukiuka kanuni hii ni kuondolewa mara moja pasipo mjadala wowote.* *NB; Kanuni hizi zinalenga kudumisha utaratibu na heshima katika kundi.ukienda kinyume na masharti hayo utaondolewa kwenye group mara moja.* PIA WANA GROUP TUNAOMBA MUONESHE USHIRIKIANO WA KUCHANGIE MAADA USIPITE TU, AU USIWE WEWE NI MTU WA KUSOMA TU NA KUPITA
ุฑุงุจุท ุฏุนูุฉ ู ูุซูู ูุชูุงุตูู ุงูุฃุนุถุงุก ูุฎูุงุฑุงุช ุงูุฅุนูุงู ุนูู WhatsAd.
Jina la Kundi: Wazalendo Halisi Sheria za Kundi 1. Heshima Kwanza โ Hakuna matusi wala kejeli kwa mwanakundi yeyote. 2. Lugha ya Staha โ Tumie Kiswahili fasaha na maneno ya kujenga. 3. Ujumbe Uwe wa Msingi โ Epuka kusambaza habari zisizothibitishwa au zisizo na uhusiano na malengo ya kundi. 4. Maoni Yote Yanathaminiwa โ Tofauti za mawazo ni ruksa, mradi tu yasielekee kwenye matusi au ugomvi. 5. Epuka Siasa Kali โ Tujikite katika mazungumzo yenye tija na siyo yenye kuibua migawanyiko. 6. Usambazaji wa Taarifa Muhimu โ Tuwe tunatumia kundi hili kupeana taarifa muhimu na maoni ya kujenga kuhusu kundi letu na shughuli zake. 7. Kusambaza Ratiba na Mipango โ Kundi hili litakuwa sehemu rasmi ya kupanga, kushirikiana, na kujulishana kuhusu shughuli zetu. 8. Wasiliana kwa Hekima โ Kila mmoja ana haki ya kuzungumza, tusikilizane.
โ ๏ธTANGAZO MAALUMU LENYE TAHADHARI NDANI YAKE โ ๏ธ. GRUPU HILI LINAHUSIKA NA HUDUMA YA 1. VIFURUSHI VYA BEI NAFUU KWA MITANDAO YOTE TANZANIA. 2. HUDUMA ZA LAPTOP KWA BEI NAFUU KABISA. 3. HUDUMA ZA SIMU KWA BEI NAFUU KABISA. 4. NA HUDUMA NYINGINE KWAAJILI YA MSAADA KWAKO MDAU WANGU ILI KUFANYA MAMBO YAWE RAHISI. โ ๏ธโTAFADHALI USIPOST KITU NJE NA HIVYO AU USIPOST BIASHARA YAKO YA AINA YOYOTE HAPA.โโ ๏ธ `PIA HAKIKISHA UNAPATA HUDUMA KUTOKA KWA ADMIN NA NAMBA ZA ADMIN AU MMILIKI WA GROUP NI TATU TU` [contact hidden]. NB: HUU NI UJUMBE WA ANGALIZO TU ILA SIO KATAZO, HIVYO UKIONA UMERIDHIKA NA HUDUMA KUTOKA KWA MTU MWINGINE NI SAWA ILA YATAKAYOKUKUTA SI DHAMANA YANGU. KARIBU SANA KWA HUDUMA BORA NA ZENYE UHAKIKA HAPA MR NO TIME DATA