ุงุจุญุซ ูู ููุฑุณ WhatsAd ูู ุฌู ูุนุงุช ูุงุชุณุงุจ ููุนุซูุฑ ุนูู ุงูุฃูุถู.
ูุชูุฌุฉ ูุงุญุฏุฉ ูู ููุฑุณ ู ุฌู ูุนุงุช WhatsAd
ใ๐ซ๐๐๐๐๐๐ช๐ฟ๐๐ โฌ๐๐๐ธ๐ช๐น๐๐ใ แฌแฌ Jolyne Kujo แฌแฌ Shizuku Murasaki แฌแฌ Yoru แฌแฌ Mikasa แฌแฌ aponia แฌแฌ Adan wong แฌแฌ Maki zenin แฌแฌ Afrodita แฌแฌ Wriothesley แฌแฌ Rengoku Kyojuro แฌแฌ Endeavor แฌแฌ Rio tsukatsuki แฌแฌ Asuna แฌแฌZelda ใ๐ช๐๐๐๐๐๐๐ ๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ใ ใ๐ฌ๐ ๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐: 15 @ 25ใ ใ๐ช๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐ ๐ ๐ท๐๐๐๐๐๐๐๐๐: 5ใ
ุฑุงุจุท ุฏุนูุฉ ู ูุซูู ูุชูุงุตูู ุงูุฃุนุถุงุก ูุฎูุงุฑุงุช ุงูุฅุนูุงู ุนูู WhatsAd.
Jina la Kundi: Wazalendo Halisi Sheria za Kundi 1. Heshima Kwanza โ Hakuna matusi wala kejeli kwa mwanakundi yeyote. 2. Lugha ya Staha โ Tumie Kiswahili fasaha na maneno ya kujenga. 3. Ujumbe Uwe wa Msingi โ Epuka kusambaza habari zisizothibitishwa au zisizo na uhusiano na malengo ya kundi. 4. Maoni Yote Yanathaminiwa โ Tofauti za mawazo ni ruksa, mradi tu yasielekee kwenye matusi au ugomvi. 5. Epuka Siasa Kali โ Tujikite katika mazungumzo yenye tija na siyo yenye kuibua migawanyiko. 6. Usambazaji wa Taarifa Muhimu โ Tuwe tunatumia kundi hili kupeana taarifa muhimu na maoni ya kujenga kuhusu kundi letu na shughuli zake. 7. Kusambaza Ratiba na Mipango โ Kundi hili litakuwa sehemu rasmi ya kupanga, kushirikiana, na kujulishana kuhusu shughuli zetu. 8. Wasiliana kwa Hekima โ Kila mmoja ana haki ya kuzungumza, tusikilizane.
โ ๏ธTANGAZO MAALUMU LENYE TAHADHARI NDANI YAKE โ ๏ธ. GRUPU HILI LINAHUSIKA NA HUDUMA YA 1. VIFURUSHI VYA BEI NAFUU KWA MITANDAO YOTE TANZANIA. 2. HUDUMA ZA LAPTOP KWA BEI NAFUU KABISA. 3. HUDUMA ZA SIMU KWA BEI NAFUU KABISA. 4. NA HUDUMA NYINGINE KWAAJILI YA MSAADA KWAKO MDAU WANGU ILI KUFANYA MAMBO YAWE RAHISI. โ ๏ธโTAFADHALI USIPOST KITU NJE NA HIVYO AU USIPOST BIASHARA YAKO YA AINA YOYOTE HAPA.โโ ๏ธ `PIA HAKIKISHA UNAPATA HUDUMA KUTOKA KWA ADMIN NA NAMBA ZA ADMIN AU MMILIKI WA GROUP NI TATU TU` [contact hidden]. NB: HUU NI UJUMBE WA ANGALIZO TU ILA SIO KATAZO, HIVYO UKIONA UMERIDHIKA NA HUDUMA KUTOKA KWA MTU MWINGINE NI SAWA ILA YATAKAYOKUKUTA SI DHAMANA YANGU. KARIBU SANA KWA HUDUMA BORA NA ZENYE UHAKIKA HAPA MR NO TIME DATA