ابحث في فهرس WhatsAd لمجموعات واتساب للعثور على الأفضل.
نتيجة واحدة في فهرس مجموعات WhatsAd
🟢 *Jukwaa la Afya Bora 🌿🧠* Karibu sana kwenye Jukwaa la Afya Bora – sehemu salama ya elimu, ushauri na maarifa yanayohusu afya ya mwili, akili, lishe bora, tiba mbadala na tiba za kisasa. Lengo letu ni kuhamasisha maisha yenye afya kwa kutumia maarifa sahihi, kwa kushirikiana kama jamii inayojali ustawi wa kila mmoja. Hapa utajifunza kuhusu kinga, tiba, lishe sahihi, afya ya akili, na njia mbadala salama za kuboresha maisha. Elimu ya afya ni kinga – tujifunze, tushirikiane, tuboreshe maisha yetu pamoja. ✅ *Sheria za Kikundi:* 1. Heshimu kila mshiriki. Lugha za matusi, kejeli au kudhalilishana haziruhusiwi. 2. Mada kuu ni afya. Epuka mijadala ya siasa, udaku au mambo yasiyo ya afya. 3. Usitume picha, video au sauti zisizofaa au zisizo na maadili. 4. Usitangaze biashara binafsi bila ruhusa ya msimamizi wa kundi. 5. Tumia lugha ya staha na inayofahamika na wanakikundi wote. 6. Taarifa za kiafya zitolewe kwa umakini na ikiwezekana ziwe zenye uthibitisho. 7. Usitume jumbe za kushambulia dini, kabila au imani za watu. 8. Hoja ziletwe kwa heshima, nia njema na maarifa. 9. Ukiukaji wa sheria unaweza kupelekea onyo au kuondolewa kundini. 10. Tushirikiane kwa upendo na nidhamu ili tuwe sehemu bora ya kujifunza na kusaidiana. Asante kwa kuwa sehemu ya Jukwaa la Afya Bora. Tujenge afya zetu kwa hekima, mshikamano na heshima. Karibu sana. 📢🔥 *RATIBA RASMI YA GROUP LA AFYA!* 🔥📢 🕑 *Muda wa Maswali na Majibu:* ⏰ *Saa 3:40 Asubh hadi Saa 12:30 jion — KILA SIKU!* --- 💬 *Karibu uulize, upate majibu ya kitaalamu kuhusu:* ✅ Magonjwa ya ndani & uzazi ✅ Lishe sahihi & tiba mbadala ✅ Maumivu ya mwili, uchovu, kisukari, presha n.k ✅ Ujauzito, nguvu za kiume, na U.T.I --- 📌 *MAALUM:* 🔍 Ukiwa na changamoto ya kiafya inayoendelea au unahitaji tiba binafsi: 📲 *Wasiliana Moja kwa Moja na Dkt. Musa* 📞 *[contact hidden]* --- 🎉 *WAGENI WOTE MNAKARIBISHWA KWA MIKONO MIWILI!* 🧠 *Elimu sahihi ni kinga — Afya yako ni NGUVU yako!* 💪🌿
رابط دعوة موثّق وتفاصيل الأعضاء وخيارات الإعلان على WhatsAd.
*TUNAKUKARISHA KWENYE GROUP LETU LA AFYA YA MWANAUME ELIMU NA TIBA ASILIA*👇👇👇👇👇 *UTANGULIZI* ✍️Hapa utaweza kujifunza mambo mbalimbali ya kuimarisha afya yako kama mwanaume, vyakula vya kutumia zaidi kama mwanaume na mambo mengine mengi zaidi yanayohusu afya ya uwanaume wako. ✍️Pia kama unatatizo lolote linalokusumbua hasa kama umeathiriwa na kujichua, kibamia,kushindwa kustahimili kwenye tendo la ndoa Kwa muda mrefu na kurudia tendo Kwa wakati, uume mdogo, mwembamba, na changamoto zote zinazohusu afya ya mwanaume, utakuwa upo sehemu sahihi. ✍️Kwani kupitia group hili utapata ushauri na namna ya kurudisha afya yako ya uume iwe imara kupitia program za mazoezi maalum ya uume, program za virutubisho maalum asilia zilizothibitishwa na wataalam mbalimbali, zitakazokusaidia kuimarisha afya yako na uwanaume wako moja Kwa moja. ✍️Group litafunguliwa Kwa wiki mara mbili Ili kuruhusu majadiliano hasa katika afya ya mwanaume siku zingine ukiwa na swali au tatizo muone admin inbox naye atakusaidia Kwa asilimia mia Moja. ✍️Masomo yatakuwa yanatumwa na admin Kila siku,kupitia group letu hivyo uwepo wako katika group hili Wala hujabahatisha upo sehemu sahihi na salama. 🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝