ابحث في فهرس WhatsAd لمجموعات واتساب للعثور على الأفضل.
نتيجة واحدة في فهرس مجموعات WhatsAd
رابط دعوة موثّق وتفاصيل الأعضاء وخيارات الإعلان على WhatsAd.
Bow n is b7v76 nhuny 7nvgy6v
MABADILIKO YA MFUMO (UTARATIBU) WA KUPOKEA MAFUNDISHO YA Mwl. Francis Langula (WhatsApp: [contact hidden]) Napenda kutumia nafasi hii kukujulisha namna mpya ya kupata mafundisho ambayo haitaleta madhara kama ambayo yalitokea ya kufungiwa namba ya WhatsApp. Zifuatazo ndio njia sahihi zitakazotumika KUPOKEA MAFUNDISHO:- 1. KUANZIA SASA MAFUNDISHO (AUDIO – VOICE NOTE) YATATUMWA KWENYE MAGROUP TU 2. TAARIFA YA SOMO JIPYA AU LINALOENDELEA NDIO ITATUMWA KWENYE INBOX YA MTU NA KWENYE WhatsApp Channel 3. GROUP HUSIKA LITAKUWA LIMEFUNGWA SIKU ZOTE, NA LITAKUWA NI KWA AJILI YA KUPOKELEA MAFUNDISHO TU (HALITARUHUSU MWINGINE KUTUMA CHOCHOTE) 4. KWA HIYO, ILI KUENDELEA KUPOKEA MAFUNDISHO UNASHAURIWA KUWA KWENYE GROUP MOJAWAPO KATI YA MAGROUP MATANO YALIYOPO SASA (Jiunge) G1 New Creation in Christ (NCC) Teachings✝️01 [link hidden — subscribe to view] G2 New Creation in Christ (NCC) Teachings✝️02 [link hidden — subscribe to view] G3 New Creation in Christ (NCC) Teachings✝️03 [link hidden — subscribe to view] G4 New Creation in Christ (NCC) Teachings✝️04 [link hidden — subscribe to view] G5 New Creation in Christ (NCC) Teachings✝️05 [link hidden — subscribe to view] KWA NINI KUJIUNGA MA-GROUP MAPYA: Kila mmoja analazimika kujiunga kwenye group jipya hata kama alikuwa kwenye group la zamani, hii ni kutokana na mabadiliko ambayo yanatakiwa kufanyika kwa kutumia namba yangu mpya ya WhatsApp; ni kweli namba mpya ([contact hidden]) inaweza kutuma mafundisho kwa baadhi ya magroup ya zamani lakini imepewa tu kuwa ADMIN na sio MMILIKI (Admin but not owner); NAMBA ILIYOFUNGIWA NDIO MMILIKI (OWNER) WA MAGROUP HAYO. Kwa hiyo, ikitokea magroup hayo yakadukuliwa (hacked), aliyeya HACK anaweza akachukua umiliki wote na kufanya chochote bila kuwa na kizuizi kwa sababu NAMBA ILIYOKUWA INAYAMILIKI IMEFUNGIWA hivyo ni muhimu kuwa na MAGROUP AMBAYO NITAKUWA NA UMILIKI NAYO ILI KUEPUSHA USUMBUFU MKUBWA ZAIDI HAPO MBELENI. Umebarikiwa