ابحث في فهرس WhatsAd لمجموعات واتساب للعثور على الأفضل.
نتيجة واحدة في فهرس مجموعات WhatsAd
🌟 TWINSTAR MWANZA FASHION FAMILY GROUP 🇹🇿 Karibu kwenye Mwanza Fashion Family! Jukwaa la kuibua na kukuza vipaji, kushirikiana fursa, kuunda marafiki na kujenga mafanikio kwa pamoja kupitia fashion, events, modeling, tours & charity. 🎯 Group Focus: Fashion & Pageants | Friendly Tours & Parties | Miss & Modeling Training | Charity Programs | Technology | Youth Empowerment | Networking | Growth | Fursa 💡 Powered by: Twinstar Tanzania “Inspiring Talent, Creating Opportunities, Building Futures” 🏢 Company Info: - Head Office: Mwanza, Tanzania - Coverage: Nationwide - Email: [email protected] 👉 Kufahamu zaidi kuhusu TWINSTAR Tembelea pages zetu instagram: @mwanzafashionweek_and_talenttz @africanyouthgalanight @twinstartour_and_parties_ @lakezonemodelingagencytz @visioncharityfoundation @twinstarfashioncompanylimited. https://www.instagram.com/twinstarfashioncompanylimited?igsh=OGx3ZTJ0bXoycW9o&utm_source=ig_contact_invite 📜 Group Rules: 1. 🚫 Hakuna links yoyote za magroup mengine. 2. 🧭 Mada zisizohusiana haziruhusiwi. 3. 📢 Kwa matangazo binafsi, wasiliana na admin au omba link ya group la biashara. 4. 🧡 Dumisha heshima & lugha safi – hakuna matusi au ubaguzi. 5. 🤝 Shiriki fursa, kazi & matukio – jenga brand yako hapa! HUDUMA ZETU: • Maonyesho ya Mitindo & Urembo • Miss & Model (Mafunzo na Usimamizi) • Tours, Vacations & Parties • Charity (Msaada kwa Jamii) • Matangazo & Branding • Event Planning & Management • Technology Solutions • Empowerment Hub 📞 Management Contacts: - CEO & Managing Director: [contact hidden] - Marketing Manager: [contact hidden] 👥 SISI NI FAMILIA ❤️
🤣 STORY | CHARITY'S | TOUR & PARTIES | ✨ VIBES | 🌍 TANZANIA Karibu sana kwenye TWINSTAR WORLD FRIENDS – Group la kufurahia, Tour & parties, kucheka, ku-connect na kugusa jamii. 👑 SHERIA KUU – LOVE & PEACE 📛 Jitambulishe (Jina + Location + Picha) 🚫 Hakuna link yoyote wala matangaza omba link ya grpup maalum la biashara 🚫 Usi Mantion group | mentioned only kwa matukio ya Twinstar kwaajili ya wanafamilia wote 🚫 Hakuna matusi, kejeli, ubaguzi au lugha chafu 🚫 Stickers/Memes zisizo na maadili hazitakiwi 📵 Usikae kimya muda ote utaondolewa 🤝 Ugomvi binafsi → malizana inbox / admin 🤣 Leta mada story 🥰 Kuchangamka kwa group kunatokana na wewe 🪀 Kuwa huru kwa story muda wote 🙏❤️ 💬 Nini kinaendelea hapa? • Story, jokes & vibes 🤣 • Urafiki, love & connections 💞 • Fursa & elimu kwa vijana 🌍 • Events, Tour & Party za Twinstar 🎉 • Charity kusaidia jamii ❤️ • Kukuza vipaji & kuleta fursa ✨ 👉 Kufahamu zaidi kuhusu TWINSTAR Tembelea pages zetu instagram: @mwanzafashionweek_and_talenttz @africanyouthgalanight @twinstartour_and_parties_ @lakezonemodelingagencytz @visioncharityfoundation @twinstarfashioncompanylimited. https://www.instagram.com/twinstarfashioncompanylimited?igsh=OGx3ZTJ0bXoycW9o&utm_source=ig_contact_invite Inspiring Talent, Creating Opportunities, Building Futures. Kwa changamoto | Maoni | Huduma Muone admin _Save namba hii 0759764246_ ili kuwa mwanafamilia na kupata updates za tour, Charity, Modeling, events, na fursa. 🌟 Hii siyo group tu – ni FAMILIA. Sehemu ya Twinstar Fashion & Entertainment Tanzania Tunakuza vipaji, tunaunda fursa, tunajenga urafiki wa kudumu 💫
رابط دعوة موثّق وتفاصيل الأعضاء وخيارات الإعلان على WhatsAd.
💼 KARIBU TWINSTAR BUSINESS HUB Jukwaa rasmi la kuunganisha wauzaji, wanunuzi, madalali, wateja na wadau kutoka Mwanza na maeneo mbalimbali Tanzania. Lengo letu ni kufungua fursa, kurahisisha biashara, kuunganisha watu na kuifanya Twinstar iwe msaada na furaha kwa Vijana na Jamii 🇹🇿. 🛒 HUDUMA ZA GROUP • Nunua & uza bidhaa kwa urahisi • Tangaza biashara, ajira & fursa • Pata wateja, madalali & connection • Tours, events, charity & branding • Kuza brand yako kupitia matangazo na events za Twinstar 🎯 DHIMA YA GROUP • Kukuza biashara & ajira • Kujenga networking na ushirikiano • Kuunganisha wauzaji kwa wanunuzi moja kwa moja •Nunua na Tangaza - Biashara, kazi, fursa N..k muda wowote hakuna mipaka 📜 SHERIA ZA GROUP 🚫 Hakuna link yoyote 🚫 Usi-mention group zaidi ya mara mbili 🚫 Epuka matangazo/Huduma zinazofanana na Twinstar 🚫 Usitumie picha zisizo na maadili 📵 Wauzaji wa nguo/bidhaa nyingi tuma sample chache ili kuwapa nafasi na wengine kujitangaza ⚠️ Fanya biashara halali, kwa uwazi & uaminifu 📲 Huduma za Mabando, Lipa na uwakala haziruhusiwi - Kesi zimekuwa nyingi humu. 🤝 Heshimu wateja na wauzaji wengine 🙏🏻 Onyesha ushirikiano ili kuwa mwanafamilia 🌐 FAIDA ZA KUJIUNGA • Kupata wateja wapya kila siku • Kupata huduma/bidhaa kwa urahisi • Fursa za ajira na biashara • Kushiriki Events, Tours & parties za Twinstar • Connection za mikoa mbalimbali 📲 Powered by: Twinstar Tanzania IG: @twinstarfashioncompanylimited ☎️ Save namba hii sasa: [contact hidden] (Kwa Updates, Msaada kwa wateja, wauzaji na changamoto)