ابحث في فهرس WhatsAd لمجموعات واتساب للعثور على الأفضل.
نتيجة واحدة في فهرس مجموعات WhatsAd
📌 TAARIFA KWA MWANACHAMA MPYA - UMOJA WA WAGOGO UWT KUSAIDIANA Karibu sana kwenye Umoja wa Wagogo Tanzania (UWT) – Group la Kusaidiana. Hapa tunajenga umoja, tunashirikiana, na tunasaidiana katika kila changamoto zinazompata mwanachama wetu bila kujali alipo. 🎯 Lengo Kuu la Group la Kusaidiana (M-KOBA) Group hili limeanzishwa kwa ajili ya kusaidiana kifedha na kijamii pale mwanachama anapopatwa na tatizo au tukio linalohitaji msaada. Ni mfumo rasmi wa m-koba unaowawezesha wanachama kuchangia kidogo lakini kupata msaada mkubwa pale inapotokea dharura. 📝 Kabla ya Kujiunga na M-Koba Mwanachama yeyote mpya kabla ya kuunganishwa kwenye kundi la kusaidiana anatakiwa kufanya mambo yafuatayo: 1. Kumuona Admin Yoyote wa Group Lazima uwasiliane na admin yeyote wa Umoja ili upewe maelezo muhimu kuhusu jinsi m-koba unavyofanya kazi. 2. Kupata Maelezo Mafupi Admin atakuelezea sheria, ada ya mchango wa mwezi, utaratibu wa kusaidiana, namna ya kutoa taarifa za dharura, na majukumu ya kila mwanachama. 3. Kuthibitisha Kukubaliana na Masharti Baada ya kuelewa taratibu, mwanachama anathibitisha kuwa yuko tayari kufuata masharti na kuchangia kwa wakati. 4. Kuunganishwa Rasmi na M-Koba Baada ya hatua hizo kukamilika, ndipo admin atakuunganisha kwenye group rasmi la m-koba ili uwe sehemu ya mfumo wa kusaidiana. 💬 Kwa Nini Huu Utaratibu Ni Muhimu? Utaratibu huu umewekwa ili kuhakikisha kila mwanachama anayejiunga anatambua wajibu wake, anazingatia ushirikiano, na anajua haki zake pamoja na namna mfumo wa msaada unavyofanya kazi. Ni njia ya kulinda umoja na kuimarisha ushirikiano bila usumbufu. 🤝 Karibu Sana katika Safari ya Umoja na Msaada UWT Kusaidiana ni familia. Tunathamini kila mwanachama, tunasikilizana, na tunasimama pamoja. Ukishajiunga, unakuwa sehemu ya mkono mmoja wenye nguvu. Kwa maelezo zaidi, tafadhali wasiliana na admin yeyote aliyepo mtandaoni.
رابط دعوة موثّق وتفاصيل الأعضاء وخيارات الإعلان على WhatsAd.
*MAMBO YANAYO TAKIWA KWENYE GROUP* 1.Upo free kutangaza biashara yoyote ya halali na yenye kueleweka kirahisi, mda wowote unaotaka 2.Kupeana michongo ya kazi,channel za kibiashara na mambo mengine ya kimafanikio 3.Kuchati ni free mda wote,kupiga story/soga za hapa na pale,kufurahi,kufahamiana,kupendana,kucheka ,Kutabasamu. 4.Kupeana ushauri wa kimaisha kiuchumi,kijamii 5.Hili ni chimbo la watakatifu,watu wenye uaminifu mkubwa na wenye malengo makubwa ya kibiashara na mafanikio *MAMBO YATOKAYO KUONDOA KWENYE GROUP* 1.Hutakiwi kutuma link ya aina yoyote 2.Kusababisha vurugu au chating za kutukanana,habari za siasa ya TZ hazi ruhusiwi. 3.Hutakiwi kuludia tangazo Moja zaidi ya mara2 kwa mda mmoja 4.Hutakiwi kutuma ,video za ngono,picha,link, au voice notes 5.Hutakiwi kutangaza biashara yyote ya KITAPELI(*humu utapeli ni mwiko*)