ابحث في فهرس WhatsAd لمجموعات واتساب للعثور على الأفضل.
نتيجة واحدة في فهرس مجموعات WhatsAd
21 Basi Yesu akawaambia tena, Amani iwe kwenu; kama Baba alivyonituma mimi, mimi nami nawapeleka ninyi. Yohana 20:21 22 Naye akiisha kusema hayo, akawavuvia, akawaambia, Pokeeni Roho Mtakatifu. Yohana 20:22 23 Wo wote mtakaowaondolea dhambi, wameondolewa; na wo wote mtakaowafungia dhambi, wamefungiwa. Yohana 20:23
رابط دعوة موثّق وتفاصيل الأعضاء وخيارات الإعلان على WhatsAd.
Malo oyenera kwa iwo ali ndi njala ya Mulungu
Tumsifu yesu kristo.. Ndugu wapendwa group hili nikwaajili ya MUZIKI MUTAKATIFU, SALA PAMOJA NAKUSHIRIKISHANA MAWAZO MBALIMBALI YA KIKATOLIKI TU. mambo mengine kama michezo, story zisizohusiana na maelekez ya group haziruhusiwi. Pia tunapotuma ujumbe tujitaidi kutuma ujumbe uliokamilika tuachane na yale maneno ya mkato mfano. Xmx, p,pa1 n.k. nawaomba tujitahidi kuzingatia maelekezo wakuu tofauti nahapo utaondolewa muda huohuo asante na karibuni sana wakuu🙏🙏.
MWISHO UMEKARIBIYA UNABII UNATIMIYA TUBU da Matayo 24.1