TUIMBE_SOTE NA_ELIA MUIMBAJI_🇹🇿
NJONI, TUMWIBIE BWANA, (Zaburi 95:1) NA Elia muimbaji.
#SUBSCRIBE
...ili tubarikiwe pamoja.🙏🙏
👇Bofya.. 👇👇👇👇
https://youtube.com/@Eliamuimbaji?si=OB6Vz7hxNWm2VdT_
"UTARATIBU NDANI YA GROUP HILI".
1_Hauruhusiwe kuweka Link zozote isipokua Link 🔗 tu za music wa dini na maudhui yanayohusiana na dini.
2_Maneno machafu au kauli mbaya/ mazungumuzo mabaya ndani ya group hayahitajiki,
3_Upendo, amani, ushauri, mafundisho kuhusu music, neno la MUNGU, kuimba, kuweka ama kuposti audio ama video zinazo fuata utaratibu.
4_Siasa, miziki ya kidunia yaani Tivoli ama bongo! Hazihusiki humu NDANI 🙏
Tubarikiwe saana kwa kufanya hivyo MUNGU wetu atazidi kutushindia zaidi 🙏🎙️🎵