OPPORTUNITY CIRCLE🫂
Hili ni jukwaa la kushirikiana na kusaidiana kuhusu:
• Michongo ya kazi
• Fursa za ajira
• Biashara na ujasiriamali
• Mitaji na support mbalimbali
• Connections na networking
Lengo letu ni kuunganisha watu, kushare opportunities halali, na kusaidiana kukua kiuchumi.
⚠️ Sheria za Group:
Heshima kwa kila mwanachama.
Tuma fursa halali na zenye maelezo ya kutosha.
Epuka utapeli, matangazo yasiyo na uhakika, au spam.
Changia kwa kujenga, sio kubomoa.
Pamoja tunaweza.
Tuchangamkie fursa, tufanikiwe kwa pamoja! 🚀