Simu MTWARA X LINDI 🧡📍
📌 SHERIA ZA MTWARA FAMILIA 📌
1. Mgeni ajitambulishe kwa JINA, MAHALI na PICHA.
2. Hairuhusiwi kutuma video chafu, matusi au sticker zisizo na maadili.
3. Hakuna kutongozana kwenye group.
4. Usimfuate mtu inbox bila ridhaa yake.
5. Ukipendana na mtu, malizaneni inbox kimyakimya.
6. Matangazo ya fursa yanaruhusiwa – ila yawe halali na yenye staha.
7. Utani uwe na mipaka, usimkosee mtu heshima.
8. Toa maoni yako kwa nidhamu bila kumdhalilisha mwingine.
9. Heshimu jinsia, itikadi, na maoni ya kila mshiriki.
10. Ukivunja sheria, utaondolewa bila mjadala.
"Sisi Ni Familia🕊️"