BEI ZA JUMLA (MAZOEZI) ~ JOLU PHONE & ACCESSORIES
KARIBU KWENYE FAMILIA YA JOLU ACCESSORIES 📱🔥
Shukrani kwa kujiunga nasi! Hapa ndipo nyumbani kwa fursa za biashara ya Cover za Google Pixel na accessories nyingine.
UTARATIBU WA GROUP LETU:
* Bidhaa & Bei: Tutakuwa tunatuma picha za cover na bei zake za jumla hapa.
* Bei ya Jumla: Cover nyingi bei yako ni 7,000/- na kuendelea
* Bei ya Kuuza: Unashauriwa kuuza kuanzia 10,000/- mpaka 15,000/- (Faida yako ni 3,000/- mpaka 8,000/- kwa kila kipande!) inatgemea na cover
*👉🏾 Jinsi ya Kuchukua Mzigo:
* Ukipata mteja, nitext inbox kusema unahitaji cover gani.
* Ofisi yetu ipo Mwenge, Dar es Salaam (Karibu na stend mpya ya Daladala) Jose saloon floor ya kwanza.
* Mawakala wa mikoani, tunatuma mzigo kwa uaminifu mkubwa.
* Kanuni: Group hili ni kwa ajili ya biashara tu.
Lengo Letu: Kila kijana humu ndani aweze kutengeneza kuanzia 20,000/- kwa siku kupitia simu yake! Tupate wote 🙏🏾
Note; Ni Muhimu kuzingatia bei elekezi kama mteja ukimuuzia ofisini kwetu. Nje ya ofisi ni juu ya makubaliano yenu.
Kama una swali, usisite kuniuliza inbox. Karibuni sana tuchape kazi! 🚀
[contact hidden]
Mwenge (Dar es salaam)