𝐖𝐈𝐋𝐃𝐋𝐈𝐅𝐄 𝐒𝐓𝐎𝐑𝐘 🐴🐫🐃
0748287628
*𝕂𝔸ℕ𝕌ℕ𝕀 ℕ𝔸 𝕄𝔸𝕊ℍ𝔸ℝ𝕋𝕀 𝕐𝔸 𝔾ℝ𝕆𝕌ℙ 𝕃𝔼𝕋𝕌 𝕃𝔸 𝕎𝕀𝕃𝔻𝕃𝕀𝔽𝔼 𝕊𝕋𝕆ℝ𝕐*
A:WILDLIFE STORY NI GROUP LINALOJADILI HABARI ZINAZOHUSU WANAYAMA PORI NA MAZINGIRA KWA UJUMLA.
B: PIA GROUP LETU LINAHUSIKA NA HABARI MPASUKO (BREAKING NEWS) NA MATUKIO MBALIMBALI YA SAMPULI HIYO NDANI NA NJE YA NCHI.
*KANUNI/MASHARTI.*
*1. (a)Ni Marufuku kutuma Matangazo ya biashara, bidhaa, au huduma binafsi isipokuwa yatolewe ruhusa na wasimamizi wa kundi.*
*( b)ni marufuku kutuma. link ya mtandao wowote ule kwenye group hili.*
*2.Ni marufuku kutuma Picha na Video za utupu(×).TumaPicha na video zinazohusiana na wanyama na mazingira tu ndizo zinazokubalika.*
*3. Hairuhusiwi kutuma na kueneza habari za uongo, uvumi, au taarifa zisizo na vyanzo. Hakikisha habari zote unazotuma zimethibitishwa.*
*4. Ni Wajibu kwa kila member (mwanagroup)kuheshimu mwenzake na usitume matusi, lugha za matusi, au ujumbe wenye chuki au ubaguzi kwa mwenzako.*
*5. Huruhusiwi kuchukua au kusambaza taarifa binafsi za washiriki (wanagroup)bila ruhusa.*
*6. Mawasiliano ya Faragha ndani ya kundi hayaruhusiwi. Masuala binafsi na mawasiliano yasiyohusu kundi yafanyike nje ya kundi.*
*7. Kuheshimu Wasimamizi (MA ADMIN): Fuata maelekezo ya ma admin na heshimu uamuzi wao kwa maslahi ya kundi.*
*8. Ni ruksa kila mwanagroup kutoa Mchango ndani ya group: Lengo kuu liwe kutoa na kueneza elimu na kujenga jamii yenye uelewa kuhusu wanyama na mazingira.*
*9. Hairuhusiwi kivyovyote vile kutuma picha au video zenye zimeundwa kwa kutumia akili nemba (AI), sababu kuu ni kuhimiza tasnia ya WILDLIFE na kundi la WILDLIFE STORY lisalie katika uhalisia wake. Kosa la kukiuka kanuni hii ni kuondolewa mara moja pasipo mjadala wowote.*
*NB; Kanuni hizi zinalenga kudumisha utaratibu na heshima katika kundi.ukienda kinyume na masharti hayo utaondolewa kwenye group mara moja.*
PIA WANA GROUP TUNAOMBA MUONESHE USHIRIKIANO WA KUCHANGIE MAADA USIPITE TU, AU USIWE WEWE NI MTU WA KUSOMA TU NA KUPITA