GOSPEL FLAVOUR 🔥 🔥-TRENDING- (EAST AFRICA)🔎🎼🔥
GOSPEL FLAVOUR 🎶 TRENDING 💥 EAST AFRICA, Ni kundi la kikristo lenye mshikamano 💯, maelewano💯 na umoja 💯 kuhusu mambo ya ki-Mungu💥 Kama Maombi, Neno, Sifa 🎵(uimbaji) nk. Pia group hili limeweka miiko❌‼️ ili kuboresha huduma za group ,, Miiko huyo Ni:
>Hakuna kutuma video, link nyimbo, sauti iliyorekodiwa, jumbe za matusi meseji zisizo na Utukufu hazitakiwi❌❌
>Lugha ya matusi ❌❌
>Picha za utupu❌❌
>Video na stika mbaya ❌❌
>Madhabahu hii sio jukwaa la siasa
Na mengine yote yanayo fanana na hayo hayaruhusiwi maadimin wako macho masaa 24 ukizingua unatolewa [KARIBUNI NYOOTE]‼️‼️