One Year Bible Study N46
Karibu katika usomaji wa Bibilia kwa mwaka mmoja 2026!
Hapa, lengo letu ni rahisi - kusoma Bibilia yako mwenyewe, wewe mwenyewe.
Kila siku, pitia maandiko uliyopewa, kisha chapa "Tayari" ukisha maliza. Shirikisha maarifa uliyopata wakati unapitia maandiko husika, uliza maswali, na ukue katika hekima ya Mungu.
Tutapitia Bibilia nzima kutoka Mwanzo kwenda Ufunuo ndani ya mwaka mmoja. Kama sehemu ya shughuli zetu, sisi pia tunaendesha majaribio/quiz kila mwezi na maombi ya kila wiki kutufanya tuwe imara na kukua pamoja .