PAPYRUS REED OF THE LAKE🌹🌹
Bwana YESU asifiwe mabinti wenzangu. Naitwa Joan Macha ni binti wa miaka 18, lakini MUNGU ameweka mzigo au wito ndani yangu kwa habari ya kutumika na mabinti na kuleta mabadiliko kwenye kizazi chetu. Lengo la group hili ni kusaidiana sisi kama wadada katika nyanja mbalimbali za maisha. Kwanza kiroho( kuwa na mabinti wenye ufahamu mpana na wa kina kuhusu MUNGU), kijamii, kiuchumi , motivations na mambo mengine. Karibuni , tukue katika kumjua MUNGU zaidi.Nimeamua kuunda group hili kulifikia kundi kubwa zaidi, asanteni.