TANZANIA 🇹🇿MUSIC SUPPORT 2026
*Karibu kwenye group rasmi la kusaidia na kuinua wasanii wa muziki!* 🎙🎤
Hapa tunashirikiana kushare nyimbo mpya, video, ideas,movies,promosheni, na kushirikiana kwa nia ya kukuza vipaji. 🎶🎼🎵
Tunakaribisha mashabiki, wasanii, mapromota, DJs, na wapenda muziki kwa ujumla. 🎧
Ruksa kupiga story muda wowote na kubadilishana idea 🧠
*Lengo letu:* Kusambaza kazi za muziki na kuwapa sapoti wasanii wa ndani.🔥🔥
*Sheria za group:*
- Heshimu kila mshiriki ✊
- Share kazi za movie na muziki tu 🎶
- Hakuna matusi, ubaguzi au spam 🚫
- Usitume matangazo mawili kwa mara moja❌
*Karibu sana – Muziki ni maisha!* 🎶🔥