🥰MAHABA NI MOTO😍💋♥️❣️👄🫦👅
Hapa ni pahali pa waliounganishwa na mapenzi ♥️. Tunapenda, tunathamini, na tunasikilizana. Karibu kwenye kona yetu ya mahaba ya amani na ukaribu
🌟 GROUP RULES
1. Heshimiana – Hakuna matusi, kejeli, au dharau.
2. Hakuna picha au video zisizofaa – Tunadumisha hadhi ya kundi.
3. Hakuna spam – Usitume matangazo bila ruhusa ya admin.
4. Mahaba na mazungumzo ya mapenzi yawe ya heshima.
5. Usimlazimishe mtu DM – Heshimu mipaka ya kila mtu.
6. Hakuna drama – Tunataka vibes safi na amani tu.
7. Watu wote wachangie bila kumtusi au kumshusha mwingine.
8. Kila mtu asikilizwe – Tunaweka mazingira salama ya kuongea.
9. Hakuna kuleta mambo ya uhusiano wa nje ya group kama kushambulia mtu.
10. Furahia, penda, na ulete vibes za upendo tu.