🌍KISWAHILI NGUZO YA UMOJA WA AFRIKA (KINA)
Hili ni kundi la Wana Afrika ambalo lina lengo la kuwezesha KISWAHILI kuenea barani na kuwaunganisha waafrika pamoja ili kujenga uchumi imara na umoja kwa kutumia lugha ya KISWAHILI.
Lazima tuandike kitu kidogo kwenye kikundi kwa kiswahili kila siku: Nzuri👌🏾
Lazima tuheshimiane,
-lazima uwe tayari kujifunza /kufundisha
-Lazima uwe tayari kubadilishana maarifa
-Lazima kuwa tayari kufuata kanuni na taratibu za kikundi
-na kuwa tayari kukienzi kiswahili
&
-Sisi sie wahubiri Dini
-Sisi sie wanasiasa wa majukwaa
- Sisi ni Walimu wa Kiswahili karibuni tujifunze kuandika na kuongea Kiswahili Fasaha kwa manufaa ya wote.
Ofisi zetu zipo, Barabara ya Bibi titi, kwenye jengo la
MWL NYERERE HOUSE TOWER , KISUTU - ILALA, S.L.P. 55814 ,
DAR ES SALAAM- TANZANIA 🇹🇿
AFRIKA.