ابحث في فهرس WhatsAd لمجموعات واتساب للعثور على الأفضل.
حوالي 1 نتيجة (0.42 ثانية)
Wapendwa Habari zenu 🙋♂️ Karibu Wote kwenye group letu la Naimulika Afya. Utaelimika kwakupata Dondoo Kuhusu Afya ya uzazi kwa wanaume na Wanawake n.k. Utaweza Kufaham juu ya Dalili/Vyanzo/Mazara ya changamoto Mbali Mbali za Afya ya Uzazi. Kupitia group letu utafanikiwa Kufaham Tiba ya changamoto ya Magonjwa ya Uzazi na Magonjwa Mengine. Utapata kujifunza Dondoo Tofauti Tofauti za Kiafya pamoja na Vyakula utakavyo weza kutumia ili kujimarisha Utaweza kuona na kusikia Shuhuda za Tulio wasaidia kuondokana na changamoto Zao Na iwapo una Swali au Maswali Karibu inbox upate Msaada. 📍Tuko Dar es salaam Maeneo ya Mwenge Mpakani (Lufungila) jengo la Tanzanite Tower floor number 2 office Iko mwisho mwa kordo. Ukiwa Mkoani au nnje ya Nnchi Huduma zetu zinakufikia pia kwa Gharama zako (delivery) Karibu[contact hidden]