AFYA NA UZAZI BORA KWA MWANAMKE GROUP2๐ฉ๐ฟโ๐ผ๐ซ
Karibu sana dada au mama kwenye Group la Afya Bora ya Uzazi kwa Mwanamke.
Tunafurahi kukuona hapa, maana sasa umejiunga na jamii ya wanawake wanaotaka kuboresha afya zao kwa njia salama, sahihi na za kitaalam.
Katika group hili utapata.
1.Elimu ya kina kuhusu UTI sugu, fangasi, miwasho, PID, maumivu ya tumbo la uzazi ,uvimbe kwenye kizazi,Endometriosis,kuziba kwa mirija ya uzazi,Hormone imbalance,Miscarriages, n.k.
2.Ushauri wa kibinafsi kuhusu hedhi isiyo sawa(irregular period), maumivu, uzazi na changamoto nyingine.
3.Miongozo ya lishe na tiba lishe ambazo zimewasaidia wanawake wengi kurudi katika hali yao ya kawaida.
4.Ofa maalum za bidhaa zinazosaidia afya ya uzazi kwa gharama nafuu kwa wanachama wa group pekee.
5.Mafunzo ya mara kwa mara yanayoendeshwa na Dr. Khim Ibrahim kutoka Afyataasisi.
6.Matibabu ya kuduma ya matatizo yote ya uzazi kama vile uvimbe kwenye kizazi bila upasuaji mfano ocysts na fibroids,saratani ya shingo ya kizazi,kuzibua mirija ya uzazi,kuweka s awa mzunguko wako wa hedhi,kurekebisha homoni zako,Ugumba,mimba kuharibika mara kwa mara nk
Lengo letu.
Kukusaidia kuimarisha afya yako ya uzazi, kuondoa changamoto zinazorudia-rudia, na kuhakikisha mwili wako unarudi katika uwiano wake wa kawaida.
Jisikie huru kuuliza chochote muda wowote kwan upo sehemu sahihi.
Karibu sana, safari ya kuboresha afya yako inaanza leo ๐
Kwa maswala private unaweza kuwasiliana na mtaalamu moja kwa moja kwa njia ya kupiga simu au ujumbe mfupi wa meseji ya kawaida au ya whatsapp,0754638695.