Search the WhatsAd index of WhatsApp groups to find the best ones.
1 result in the WhatsAd group index
Verified invite link, member details and advertising options on WhatsAd.
Yafuatayo ni mambo ya msingi na utaratibu ambao tutaenda nao ambao watakuwa tayari 1. Unapaswa kuwa na kinanda nyumbani kwako au kanisani kwenu au studio kwako. -Darasa linafanyika online ila linahitaji ujisimamie kufanya mazoezi binafsi baada ya kipindi huko uliko. 2. Mafunzo yataendeshwa zaidi kwa short video clips, voice notes na maandishi pia. -Nahitaji ushirikiano wa karibu sana mahali ambapo unakuwa haujaelewa unanirudia ili nikuelekeze hadi uelewe. 3. Experience (Uzoefu) -Mbali na kwamba ninakupa ujuzi lakini Uzoefu ndio utakufanya uwe bora zaidi na kuelewa haraka, hivyo unahitaji kupata muda wa kutosha bila kuchoka kufanyia zoezi nilichokufundisha 4. Hakikisha una sehemu ya kunukuu ninachokufundisha ili ukisahau usome hasa mwanzo wa mafunzo haya Kuna mambo ya msingi nitakupa na hayo ndio yatakuwa yamebeba mafunzo yote yatakayoendelea RATIBA YA DARASA Licha ya kwamba muda wote group litakuwa free Huu ni muda maalum ambao tutapaswa kuwa online wote kwaajili ya vipindi Juma 3 - Saa 3usiku hadi saa 5 Juma 4 - Saa 4usiku hadi saa 5 Juma 5 - Saa 3usiku hadi saa 4½ J. Mosi - saa 3usiku hadi saa 4 *GHARAMA ZA MALIPO* *( ADA )* -Kila mwezi utalipa ada ya 12,000/= na hii italipwa kabla ya kuanza mafuzo *∆Unaruhusiwa kujitoa endapo utaona darasa siyo rafiki kwako* Namba ya kulipia tuma kwenda HALO-PESA 0621016348 JINA ELISHA ALFRED MALUBE