CommunitiesAFYA NA TIBA LISHE.** HERBAL HEALING.πŸ₯¦πŸ₯¬

AFYA NA TIBA LISHE.** HERBAL HEALING.πŸ₯¦πŸ₯¬

300+ membersLIN

About this community

*TIBA LISHE / HERBAL HEALING* Karibu sana! Hili ni kundi la elimu na ushauri kuhusu afya kwa njia ya lishe, mimea tiba na virutubisho vya asili. Tafadhali zingatia: 1. 🚫 *Haziruhusiwi kutuma link za makundi mengine* bila ruhusa ya admin. 2. πŸ“š *Tupo hapa kwa ajili ya kujifunza kuhusu tiba lishe na masuala ya afya.* 3. ❌ *Marufuku kutuma picha au video chafu.* Ukibainika, utatolewa mara moja. 4. 🌿 *Tunatoa tiba kwa magonjwa mbalimbali ya wanawake, wanaume na watoto,* kama: - PID, Fungus sugu, UTI, Maumivu ya tumbo la hedhi - Kuweka sawa homoni, uzazi kwa wanawake, kuchelewa kupata mtoto - Nguvu za kiume, maumivu ya mgongo, miguu kuwaka moto - Kisukari, pressure, vidonda vya tumbo - Minyoo, kikohozi sugu, aleji, matatizo ya ngozi (mapunye, vipele) - Kupunguza unene na vitambi kwa njia ya asili 5. πŸ“¨ *Ukihitaji tiba au ushauri binafsi, tafadhali wasiliana na Admin kupitia inbox.* *Karibu tujifunze na kupona pamoja kwa njia ya asili!* 🌿 πŸ“ž *Mawasiliano:* 0767758129 (Dr. Jones)

LIN
Unlock / View Community

Verified invite link, member details and advertising options on WhatsAd.

Related communities

AFYA YA MWANAUME ELIMU NA TIBA ASILIA

*TUNAKUKARISHA KWENYE GROUP LETU LA AFYA YA MWANAUME ELIMU NA TIBA ASILIA*πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ *UTANGULIZI* ✍️Hapa utaweza kujifunza mambo mbalimbali ya kuimarisha afya yako kama mwanaume, vyakula vya kutumia zaidi kama mwanaume na mambo mengine mengi zaidi yanayohusu afya ya uwanaume wako. ✍️Pia kama unatatizo lolote linalokusumbua hasa kama umeathiriwa na kujichua, kibamia,kushindwa kustahimili kwenye tendo la ndoa Kwa muda mrefu na kurudia tendo Kwa wakati, uume mdogo, mwembamba, na changamoto zote zinazohusu afya ya mwanaume, utakuwa upo sehemu sahihi. ✍️Kwani kupitia group hili utapata ushauri na namna ya kurudisha afya yako ya uume iwe imara kupitia program za mazoezi maalum ya uume, program za virutubisho maalum asilia zilizothibitishwa na wataalam mbalimbali, zitakazokusaidia kuimarisha afya yako na uwanaume wako moja Kwa moja. ✍️Group litafunguliwa Kwa wiki mara mbili Ili kuruhusu majadiliano hasa katika afya ya mwanaume siku zingine ukiwa na swali au tatizo muone admin inbox naye atakusaidia Kwa asilimia mia Moja. ✍️Masomo yatakuwa yanatumwa na admin Kila siku,kupitia group letu hivyo uwepo wako katika group hili Wala hujabahatisha upo sehemu sahihi na salama. 🀝🀝🀝🀝🀝🀝🀝🀝🀝🀝🀝🀝🀝🀝🀝🀝🀝

1K+ membersSWH

AFYA BORA YA TEZI DUME&FURAHA YA TENDO

Karibu kwenye group la wanaume "AFYA BORA YA TEZI DUME&FURAHA YA TENDO" Furahia elimu itakayo kupa ufahamu na kukusaidia kuboresha tezi dume lako kupitia elimu tunazo toa. Tumejiandaa na tumejipanga kuhakikisha kila mmoja wetu ana nufaika kupitia magroup yetu. Tezi dume ndio furaha kwa mwanaume tudumishe pamoja na kutokomeza maradhi yake kwa pamojaπŸ’ͺ

1K+ membersActive this monthSWH

Groupe ulimwengu wa viumbe na tiba asilia ya babu baobab Simba mojo dhidi ya wote duniani Lubumbashi

[link hidden β€” subscribe to view]?mode=ac_t

1K+ membersActive this monthSWH

AFYA NA UZAZI BORA KWA MWANAMKE GROUP2πŸ‘©πŸΏβ€πŸΌπŸ«ƒ

Karibu sana dada au mama kwenye Group la Afya Bora ya Uzazi kwa Mwanamke. Tunafurahi kukuona hapa, maana sasa umejiunga na jamii ya wanawake wanaotaka kuboresha afya zao kwa njia salama, sahihi na za kitaalam. Katika group hili utapata. 1.Elimu ya kina kuhusu UTI sugu, fangasi, miwasho, PID, maumivu ya tumbo la uzazi ,uvimbe kwenye kizazi,Endometriosis,kuziba kwa mirija ya uzazi,Hormone imbalance,Miscarriages, n.k. 2.Ushauri wa kibinafsi kuhusu hedhi isiyo sawa(irregular period), maumivu, uzazi na changamoto nyingine. 3.Miongozo ya lishe na tiba lishe ambazo zimewasaidia wanawake wengi kurudi katika hali yao ya kawaida. 4.Ofa maalum za bidhaa zinazosaidia afya ya uzazi kwa gharama nafuu kwa wanachama wa group pekee. 5.Mafunzo ya mara kwa mara yanayoendeshwa na Dr. Khim Ibrahim kutoka Afyataasisi. 6.Matibabu ya kuduma ya matatizo yote ya uzazi kama vile uvimbe kwenye kizazi bila upasuaji mfano ocysts na fibroids,saratani ya shingo ya kizazi,kuzibua mirija ya uzazi,kuweka s awa mzunguko wako wa hedhi,kurekebisha homoni zako,Ugumba,mimba kuharibika mara kwa mara nk Lengo letu. Kukusaidia kuimarisha afya yako ya uzazi, kuondoa changamoto zinazorudia-rudia, na kuhakikisha mwili wako unarudi katika uwiano wake wa kawaida. Jisikie huru kuuliza chochote muda wowote kwan upo sehemu sahihi. Karibu sana, safari ya kuboresha afya yako inaanza leo πŸ’š Kwa maswala private unaweza kuwasiliana na mtaalamu moja kwa moja kwa njia ya kupiga simu au ujumbe mfupi wa meseji ya kawaida au ya whatsapp,0754638695.

900+ membersSWH

JUKWAA LA AFYA BORA 🧠 0️⃣1️⃣

🟒 *Jukwaa la Afya Bora 🌿🧠* Karibu sana kwenye Jukwaa la Afya Bora – sehemu salama ya elimu, ushauri na maarifa yanayohusu afya ya mwili, akili, lishe bora, tiba mbadala na tiba za kisasa. Lengo letu ni kuhamasisha maisha yenye afya kwa kutumia maarifa sahihi, kwa kushirikiana kama jamii inayojali ustawi wa kila mmoja. Hapa utajifunza kuhusu kinga, tiba, lishe sahihi, afya ya akili, na njia mbadala salama za kuboresha maisha. Elimu ya afya ni kinga – tujifunze, tushirikiane, tuboreshe maisha yetu pamoja. βœ… *Sheria za Kikundi:* 1. Heshimu kila mshiriki. Lugha za matusi, kejeli au kudhalilishana haziruhusiwi. 2. Mada kuu ni afya. Epuka mijadala ya siasa, udaku au mambo yasiyo ya afya. 3. Usitume picha, video au sauti zisizofaa au zisizo na maadili. 4. Usitangaze biashara binafsi bila ruhusa ya msimamizi wa kundi. 5. Tumia lugha ya staha na inayofahamika na wanakikundi wote. 6. Taarifa za kiafya zitolewe kwa umakini na ikiwezekana ziwe zenye uthibitisho. 7. Usitume jumbe za kushambulia dini, kabila au imani za watu. 8. Hoja ziletwe kwa heshima, nia njema na maarifa. 9. Ukiukaji wa sheria unaweza kupelekea onyo au kuondolewa kundini. 10. Tushirikiane kwa upendo na nidhamu ili tuwe sehemu bora ya kujifunza na kusaidiana. Asante kwa kuwa sehemu ya Jukwaa la Afya Bora. Tujenge afya zetu kwa hekima, mshikamano na heshima. Karibu sana. πŸ“’πŸ”₯ *RATIBA RASMI YA GROUP LA AFYA!* πŸ”₯πŸ“’ πŸ•‘ *Muda wa Maswali na Majibu:* ⏰ *Saa 3:40 Asubh hadi Saa 12:30 jion β€” KILA SIKU!* --- πŸ’¬ *Karibu uulize, upate majibu ya kitaalamu kuhusu:* βœ… Magonjwa ya ndani & uzazi βœ… Lishe sahihi & tiba mbadala βœ… Maumivu ya mwili, uchovu, kisukari, presha n.k βœ… Ujauzito, nguvu za kiume, na U.T.I --- πŸ“Œ *MAALUM:* πŸ” Ukiwa na changamoto ya kiafya inayoendelea au unahitaji tiba binafsi: πŸ“² *Wasiliana Moja kwa Moja na Dkt. Musa* πŸ“ž *[contact hidden]* --- πŸŽ‰ *WAGENI WOTE MNAKARIBISHWA KWA MIKONO MIWILI!* 🧠 *Elimu sahihi ni kinga β€” Afya yako ni NGUVU yako!* πŸ’ͺ🌿

900+ membersSWH

Curitiba regiΓ£o troca e venda

πŸ”΄ DIVULGUE GRÁTIS! πŸ”΄ Anuncie seus Produtos, ServiΓ§os, NegΓ³cios, etc. ❌ PROIBIDO anΓΊncios de FAKES (Notas, CartΓ΅es, CNH, Diplomas, etc). βž– βž– ➑️ [link hidden β€” subscribe to view] πŸ”…πŸ”…πŸ”…πŸ”… β­• *LISTA DE GRUPOS* β­• https://paginadelinks.com/selucre ✨ *COMPARTILHA* ✨ πŸ”Ή[link hidden β€” subscribe to view] πŸ”Ή[link hidden β€” subscribe to view] πŸ”Ή[link hidden β€” subscribe to view] πŸ”Ή[link hidden β€” subscribe to view] πŸ”Ή[link hidden β€” subscribe to view]

700+ membersPortuguese