TUMSIFU YESU KRISTO! TUMWIMBIE BWANA!! Tunawakaribisha wakristo wote wapenzi wa nyimbo za kikatoliki za kumsifu Mungu wetu. SITIFANA GLORIOUS SINGERS ni waimbaji pia wa nyimbo hizo. Hivyo Group hili limekuwepo ili kusadia utume huu wa waimbaji hawa wa SITIFANA na waimbaji wengine wa nyimbo za kikatoliki kuwafikia wasikilizaji, wadau na wapenzi wa muziki huu popote duniani. HII ๐๐ผNDIO NIA KUU. Ili kutunza ustawi wa NIA HII NJEMA na kuihifadhi dhidi ya maadui wenye nia ya kuiharibu... yafuatayo ni vema yakapewa heshima sana sana sana!!!! 1. GROUP NI KWA AJILI YA NYIMBO ZA SITIFANA, KWAYA, NA WAIMBAJI WENGINE WOTE WA MUZIKI MTAKATIFU. (WAKATOLIKI) 2. KWA KUA GROUP NI LA UTUME WA KIKATOLIKI, MAFUNDISHO YOOTE, NA MATUKIO MBALIMBALI KUHUSU KANISA KATOLIKI YANARUHUSIWA SANA SANA NA TUNAYAHITAJI SANA. 3. LINK'S ZOTE SALAMA ZA NYIMBO, MAFUNDISHO NA MAGROUP MBALIMBALI YA KIKATOLIKI ZINARUHUSIWA SANA. 4. SI RUHUSA HATA KWA BAHATI MBAYA KUSHEA CHOCHOTE KILICHO KINYUME NA YALIYOANDIKWA HAPO๐๐ผ JUU. 5. TUTAFUTA NA KUMUONDOA MUHUSIKA HAPOHAPO ATAKAESHEA CHA TOFAUTI NA HAYO HATA KAMA NI KWA BAHATI MBAYA. 6. KUCHAT KWA UPENDO, KUULIZA KWA NIA NJEMA INARUHUSIWA. ILA... UGOMVI, KEJELI, LUGHA MBAYA, DHARAU NA MENGINE YASIYOPENDEZA UKRISTO HAYARUHUSIWI NA UTAONDOLEWA HAPOHAPO. 7. KWA WATUMA LINKS, UNARUHUSIWA KUSHEA LINK MOJA TU KWA SIKU, ISIPOKUWA KAMA UNA LINK TOFAUTI TOFAUTI UNARUHUSIWA KUZISHEA ZOTE UKIPENDA ILA SI KWA PAMOJA. TUNASHAURI KUSHEA KILA BAADA YA MASAA MA3. 8. HATUBAGUI LUGHA YA MTU. ILA ILI UWEZE KUELEWEKA ULICHOSHEA NASI TUMIA LUGHA YA KISWAHILI AU ENGLISH. TOFAUTI NA HAPO USIANDIKE UJUMBE WOWOTE MAANA HATUTAKUELEWA. 9. VOICE CHAT, GROUP MENTIONS NA FUJO ZINGINE KATIKA KUNDI HILI HAZIKUBALIKI NA HAZITOVUMILIWA. UKITAKA KUSHEA NASI JAMBO ANDIKA NA SI KUSHEA VOICE NOTE LABDA TU KAMA KUNA WIMBO UNAHITAJI NA HUJUI UNAITWAJE AU MTUNZI NI NANI. KARIBUNI SANA SANA WAPENDWA WANAMUZIKI MTAKATIFU WENZETU WOTE POPOTE MLIPO TUSHIKIANE PAMOJA KUMSIFU MUNGU WETU MWEMA KWA KUMWIMBIA NYIMBO NZURI.๐๏ธ๐ง๐ฝโโ๏ธ๐๐ฝ๐๐ฝ
Verified invite link, member details and advertising options on WhatsAd.
โMusic meets the soulโ Welcome to Monicah Mbithe Music, the sacred sanctuary where harmonious melodies meet the devotion of all Catholics. ๐ถ๐ My mission is to Evangelize Through Music, offering healing to the soul and guiding hearts towards salvation and the glorification of our Lord Jesus Christ. Join me in this divine journey of faith through music. ๐๐ต https://youtube.com/@MonicaMbitheMusic?si=cfIZAPo1INH1fJgH https://www.facebook.com/profile.php?id=[contact hidden]&mibextid=LQQJ4d https://youtu.be/dA-ubtCFdNs?si=wWMTqLSJGGFt6pHp
*GUIDELINES FOR THE GROUP:* 1. Share Saints' teachings, devotions, and lives to inspire personal growth in holiness 2. Share stories of modern-day saints and holy people 3. Encourage spiritual friendship, prayer, and support within the group 4. Provide information about Catholic retreats and events 5. Pray for fellow members on birthdays, anniversaries, etc. 6. Share novenas and devotions in English or Kiswahili (for non-English/Kiswahili posts, provide a translation) 7. Avoid using local languages or posting non-religious topics or advertisements. 8. Be polite, respectful, and kind towards others in the group. 9. Use the group for Catholic prayer, reflection, and encouragement, rather than for chatting or other purposes. 10. Share your devotional songs or videos by downloading them before posting, rather than sending links to YouTube channels or other sites. This will allow everyone in the group to listen and meditate without distraction. 11.To all administrators, once you see ( REQUEST TO JOIN) INTERROGATE the person to avoid scammers and cornmanship within the group. 12. It's A SPIRITUAL GROUP NOT BUSINESS GROUP OR NOT A FINANCIAL SUPPORT GROUP/ CHARITABLE GROUP; If anyone inbox you for such INTENTION; Alert the administrators. 13. ALL ADMINISTRATORS WILL BE POSTING ALL THE NECESSARILY FOR OUR SPIRITUAL GROWTH. Everyone invited to meditate on them for the glory of God.ย 14. We have RESTRICTED THE GROUP TO AVOID SCAMMERS AND UNNECESSARY POSTS 15. PLEASE JUST ACCEPT THE CHANGES WHOLE HEARTEDLYย 16. Any MEMBER HAS SPECIAL REQUEST EITHER ; BIRTHDAY, ANNIVERSARY WISHES AND PRAYERS, OR OTHER SPIRITUAL INTENTIONS - FEEL FREE TO INBOX ANY ADMINISTRATOR, YOUR NAME WILL PRESENTED TO GROUP, AND ALL MEMBERS WILL BE ALLOWED PARTICIPATE IN OFFERING WISHES 17. The GROUP WILL BE OPENED FOR EVERYONE DURING SUNDAYS AND SOLEMNITIESย 18.ย Lastly let the group form you and become a fully human person, a good christian and striving for holiness. ย ย ย ~ Thanks you all in advance ๐๐น๐๏ธ~
Karibu sana kwenye Catholic Music All Starts, jukwaa maalum kwa mashabiki, wasanii na wakristo wanaopenda muziki wa Kilomani na Kikatoliki โ Audio na Video Hapa tunashirikishana kazi, tunajifunza na tunainua vipaji vyetu kwa pamoja kwa utukufu wa Mungu
Catholic tiktokers Agendas, 1.walking the spiritual life together(Visiting Holy places for prayers). 2.praying and Reciting Rosery beads through whatsapp and tiktok forums. 3.Sharing and posting scriptures in social platforms. 4.Donating to the orphans and the less fortunates in our societies. 5.visiting the sick in various hospitals and beds to give hope. 6.Becoming the best tiktok forum in spreading love and unity. 7.Building ourselves in strong spiritual foundations.
โฉ RULES OF THE GROUP โ๏ธ ๐ *MACHAKOS CATHOLIC FRDS* *GROUP* *12* ๐ 1๏ธโฃ The group's aim is to evengelise, inspire and motivate one another, sharpen our faith with friends of good will. โฉ Share words of spiritual faith,hope and courage to those suffering and giving up.โฉ Anything contrally to that isn't allowed. [link hidden โ subscribe to view] 2๏ธโฃ No corporal or financial business adverts allowed.โฎ๏ธ No sending of other group links to the group. 3๏ธโฃ Our tongues can build us or bring us down.โฉ.Treat your language well. 4๏ธโฃ Any financial seeking, fundraising or charity event should be posted with prior knowledge to theโฎ๏ธ *Adminstration* 5๏ธโฃ God for us all ๐๐๐
[link hidden โ subscribe to view]?mode=hqctcla Kindly this platform belongs to the Young people from various Dioceses around the world. English is the official language which will foster unity. Members are encouraged to use that language. Remember your Creator while you are still Young. May the Spirit of our God unite us All Welcome in this platform we deepen our Catholic Faith together.