Communities๐ž๐…๐Ž๐Ž๐“๐๐€๐‹๐‹ ๐‚๐‡๐€๐Œ๐๐ˆ๐Ž๐ ๐’๐๐€๐ƒ๐Ÿ†

๐ž๐…๐Ž๐Ž๐“๐๐€๐‹๐‹ ๐‚๐‡๐€๐Œ๐๐ˆ๐Ž๐ ๐’๐๐€๐ƒ๐Ÿ†

400+ membersSWH

About this community

LINK YA GROUP IYOO WANA FAMILIA YA EFOOTBALL [link hidden โ€” subscribe to view]?mode=hqrt1 CHAMPION UEFA LEAGUE .OFFICIAL HD KIM ๐Ÿ†๐Ÿ† .PROSEVENTZ ๐Ÿ†๐Ÿ† . BENIX DE KING ๐Ÿ†๐Ÿ†x2 . MPANZU SUAREZ ๐Ÿ†1 .Itssuleiman๐Ÿ‘‘๐Ÿ† x1 *UKIMALIZA KUSOMA SHERIA ZA GROUP LETU NA KUONA UNAWEZA KUZIFATA UTARUDISHWA* UEFA CHAMPIONS eFootballโ„ข 2026โšฝ๐ŸŽฎ๐ŸŽ–๏ธ๐Ÿ† *โš ๏ธSHERIA 6 ZA GROUPโš ๏ธ* *SHERIA KUU YA UEFA:* *UEFA GROUP ni zaidi ya familia moja basi ni WAJIBU wa kila mwanagroup KUISHI na mwenzie kwa upendo, mshikamano na furaha kwa sababu wanagroup wote ni sawa yaani kila mwanagroup anahaki sawa (EQUALITY) na wengine hamna aliyejuu ya mwenzie ndani ya group letu la eFootballโ„ข 2026โšฝ๐ŸŽฎ๐ŸŽ–๏ธ* *Game ni entertainment/peace of mind/happiness tool hivyo litumike KUTUFANYA KUWA NA MSHIKAMANO NA UPENDO BAINA YETU MAANA KUNA MAISHA BAADA YA GAME PIA.* *1.Lugha chafu yaani MATUSI (VOICE NOTE ZA MATUSI โŒ) / KEJELI dhidi ya MEMBER MWENZIO pamoja na lugha za kidini, kikabila ni KOSA isipokuwa kwa MEMBER WA eFOTBALL ambaye una utani nae au MAZOEA NAE. ( ila huyo huyo akikureport kwa kukusnitch ni UMEVUNJA SHERIA).* *2.Kwny Group ni MARUFUKU kuingilia / kufichua / kusambaza TAARIFA ZA FARAGHA (PRIVACY) ya mshiriki yoyote, umefungwa tulia accept defeat sio kuanza kuattack mtu personal.* *3.Kutoa taarifa za UONGO au za kupotosha hazikubaliki, yaani kumzushia mtu taarifa za uongo UKIJUMLISHA utumaji wa matokeo ya uongo kwny LEAGUE pia. Mfano. umefungwa unatuma matokeo ya udanganyifu pamoja na taarifa km vile MSHIRIKI Tapeli, Shoga au Mwizi NI KOSA. (TUMA EVIDENCE KWANZA DM KWA MAADMIN)* * *5.Matangazo ya biashara ZOTE tuma kwa USTAARABU ( km ni PICHA 1 AU TEXT 1.. TUMA 1 asubuhi, 1 mchana, 1 usiku) .... LAKN MATANGAZO YAWE SAWA NA JUHUDI ZAKO ZA KUTUMA CODE KUCHEZA NA WENZIO (sio ww ni MATANGAZO TU GAME HUCHEZI). PIA โš ๏ธBIASHARA YA VIKOSI na links zote pamoja na GROUP &CHANNEL LINKSโš ๏ธ HAZIRUHUSIWI, MPK RUHUSA na KIBALI FROM ADMINS.* *6.MAUDHUI YA Picha/Video / Sticker za UTUPU hata kama ni mchor

SportsSWH
Unlock / View Community

Verified invite link, member details and advertising options on WhatsAd.

Related communities

๐“๐€๐๐†๐€๐๐˜๐ˆ๐Š๐€ ๐“๐‘๐”๐‚๐Š๐„๐‘๐’ ๐ƒ๐‘๐ˆ๐•๐„๐‘๐’ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿšš๐Ÿšš

ZINGATIA โœ… lugha za matus haziluhusiwi usipo chart mda mrefu tunakutoa stika za matus haziluhusiwi link za magroup mengne na link zozote zile haziluhusiwi humu Matangazo ya biashara ya haina yeyote hairuhusiwi zaidi ya matangazo ya kazi ๐–ฌ๐—๐–พ๐—Œ๐—๐—‚๐—†๐—Ž ๐—†๐—๐–พ๐—‡๐—“๐–บ๐—„๐—ˆ ๐—‡๐–บ ๐—๐— ๐—Ž๐—๐–พ๐—Œ๐—๐—‚๐—†๐—‚๐—„๐–พ ๐—๐–บ๐—‚๐—‹๐—Ž๐—Œ๐—‚๐—๐—‚ ๐—„๐—Ž๐—๐–บ๐—€ ๐—€๐—‹๐—ˆ๐—Ž๐—‰ ๐—Ž๐—„๐—‚๐–ฟ๐–บ๐—‡๐—’๐–บ ๐—๐—‚๐—๐—ˆ ๐—Ž๐—๐–บ๐—ˆ๐—‡๐–ฝ๐—ˆ๐—…๐–พ๐—๐–บ ๐—„๐—๐–บ ๐—€๐—‹๐—ˆ๐—Ž๐—‰ โฌ‡๏ธ [link hidden โ€” subscribe to view]

1K+ membersSWH

WAZALENDO HALISI๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ 1

Jina la Kundi: Wazalendo Halisi Sheria za Kundi 1. Heshima Kwanza โ€“ Hakuna matusi wala kejeli kwa mwanakundi yeyote. 2. Lugha ya Staha โ€“ Tumie Kiswahili fasaha na maneno ya kujenga. 3. Ujumbe Uwe wa Msingi โ€“ Epuka kusambaza habari zisizothibitishwa au zisizo na uhusiano na malengo ya kundi. 4. Maoni Yote Yanathaminiwa โ€“ Tofauti za mawazo ni ruksa, mradi tu yasielekee kwenye matusi au ugomvi. 5. Epuka Siasa Kali โ€“ Tujikite katika mazungumzo yenye tija na siyo yenye kuibua migawanyiko. 6. Usambazaji wa Taarifa Muhimu โ€“ Tuwe tunatumia kundi hili kupeana taarifa muhimu na maoni ya kujenga kuhusu kundi letu na shughuli zake. 7. Kusambaza Ratiba na Mipango โ€“ Kundi hili litakuwa sehemu rasmi ya kupanga, kushirikiana, na kujulishana kuhusu shughuli zetu. 8. Wasiliana kwa Hekima โ€“ Kila mmoja ana haki ya kuzungumza, tusikilizane.

1K+ membersSWH

1;THE AVIATOR COLLECTIVE W๐ŸŒRLD

THE AVIATOR COLLECTIVE WORLD ๐ŸŒ โœ… Karibu kwenye ulimwengu wa ushindi na maarifa! Tunajihusisha kikamilifu na huduma za Aviator Training, ambapo tunafundisha kwa undani jinsi ya kucheza kwa umakini, nidhamu, na mikakati ya kisasa. ๐Ÿ’œ MAFUNZO YA AVIATOR โ€ข Tunatoa mafunzo ya kina kwa wachezaji wapya na wale wa kiwango cha kati. โ€ข Unajifunza namna ya kucatch Pink na Purple ๐Ÿ’œ kwa muda sahihi. โ€ข Tunakufundisha mbinu za kutambua pattern za mchezo, kudhibiti hasara, na kuongeza nafasi zako za ushindi. ๐Ÿš€ ACCOUNT MANAGEMENT (HUDUMA YETU KUBWA ZAIDI) โ€ข Kama unataka utulivu na faida bila stress, tuachie sisi tusimamie akaunti yako. โ€ข Tunahakikisha kila mzunguko unasimamiwa kitaalamu, ukiwa na uwiano mzuri wa risk & profit. โ€ข Wateja wetu wengi wameshuhudia matokeo ya kweli na ukuaji wa haraka wa salio. โ€ข Tunatoa updates na feedback kila siku ili uhakikishe fedha zako zipo salama na zinatumiwa kwa busara. ๐Ÿง  FORMULATION YA SIGNAL ZA UHAKIKA โ€ข Kwa wale wanaopenda kujitegemea, tunafundisha namna ya kutengeneza signal zenye accuracy kubwa. โ€ข Signal hizi hutegemea uelewa na uchambuzi, si bahati tu โ€” tunakufundisha namna ya kufikiri kama mtaalamu. โ€ข Kila signal inatengenezwa kwa kutumia real-time analysis na timing control. โš ๏ธ ANGALIZO MUHIMU: โ€ข Aviator ni mchezo wa kiakili, si wa miujiza. โ€ข Hakuna app yenye uwezo wa kupredict mizunguko ya Aviator kwa asilimia ๐Ÿ’ฏ โ€” yeyote anayekuambia hivyo anakudanganya. โ€ข Ushindi unategemea nidhamu, mikakati, na maarifa sahihi. ๐Ÿ’ธ KWA NINI UCHAGUE SISI? โœ… Tunatoa support 24/7 kwa wateja wetu. โœ… Tunafanya transparent management bila ujanja wala hila. โœ… Tunakupa motivation na mwongozo kila siku ili ujifunze huku unapata matokeo. โœ… Tunajali pesa zako โ€“ tunasimamia kwa uadilifu na uangalizi wa kitaalamu. ๐Ÿ”ฅ Jiunge leo na THE AVIATOR COLLECTIVE WORLD โ€“ Ulimwengu wa mafanikio, nidhamu, na akili ya ushindi! ๐Ÿš€ ๐Ÿ“ž Kwa huduma ya Account Management, wasiliana na: ๐Ÿ‘‰ Sir Kelvin: ๐Ÿ‘‰ Sir Martin: ๐ŸŽฏ Awa ndio wakali wa game! ๐Ÿ˜‚

1K+ membersSWH

MR NO TIME DATA 2ND

โš ๏ธTANGAZO MAALUMU LENYE TAHADHARI NDANI YAKE โš ๏ธ. GRUPU HILI LINAHUSIKA NA HUDUMA YA 1. VIFURUSHI VYA BEI NAFUU KWA MITANDAO YOTE TANZANIA. 2. HUDUMA ZA LAPTOP KWA BEI NAFUU KABISA. 3. HUDUMA ZA SIMU KWA BEI NAFUU KABISA. 4. NA HUDUMA NYINGINE KWAAJILI YA MSAADA KWAKO MDAU WANGU ILI KUFANYA MAMBO YAWE RAHISI. โš ๏ธโŒTAFADHALI USIPOST KITU NJE NA HIVYO AU USIPOST BIASHARA YAKO YA AINA YOYOTE HAPA.โŒโš ๏ธ `PIA HAKIKISHA UNAPATA HUDUMA KUTOKA KWA ADMIN NA NAMBA ZA ADMIN AU MMILIKI WA GROUP NI TATU TU` [contact hidden]. NB: HUU NI UJUMBE WA ANGALIZO TU ILA SIO KATAZO, HIVYO UKIONA UMERIDHIKA NA HUDUMA KUTOKA KWA MTU MWINGINE NI SAWA ILA YATAKAYOKUKUTA SI DHAMANA YANGU. KARIBU SANA KWA HUDUMA BORA NA ZENYE UHAKIKA HAPA MR NO TIME DATA

1K+ membersSWH

Jopo la Wapishi wa Muziki

Karibu katika group la JOPO LA WAPISHI WA MUZIKI **Jopo la Wapishi wa Muziki** ni kundi la wataalam wenye ujuzi na uzoefu wa kina katika masuala ya muziki, wakiwemo wapiga ala, watunzi, na walimu kutoka nchi mbalimbali kama Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Kongo nk. Lengo kuu ni kuwakutanisha wataalam hawa pamoja na wale wanaojifunza ili waweze kubadilishana uzoefu na kujifunza zaidi kupitia malengo mbalimbali. ### **Majukumu Makuu ya Jopo** 1. **Uchambuzi na Tathmini:** Kazi kuu ya jopo hili ni kuchambua na kutathmini kazi za muziki, hasa katika mashindano au wakati mtu anapohitaji maoni. Wataalam watapitia vigezo muhimu kama ubora wa sauti, utunzi, utendaji wa mwimbaji, na uhalisia wa ujumbe. 2. **Utoaji wa Ushauri:** Jopo litatoa ushauri kwa waimbaji na watunzi wa nyimbo kuhusu jinsi ya kuboresha kazi zao. Ushauri huu unaweza kujumuisha masuala ya kiufundi, kama mpangilio wa sauti, au mambo ya ubunifu, kama jinsi ya kuandika maneno yenye nguvu zaidi. 3. **Kuratibu Matukio:** Jopo pia linaweza kuwa na jukumu la kuratibu matukio ya muziki, ikiwemo tamasha au warsha za muziki, ambapo walimu wengi wameshashiriki. 4. **Utafiti na Maendeleo:** Jopo hili litahusika katika kufanya utafiti kuhusu muziki na historia yake. Hii itasaidia katika maendeleo ya tasnia ya muziki na kuhakikisha kwamba muziki unaendelea kukua na kuboreshwa. Kwa kumalizia, jopo hili lina jukumu kubwa la kuhakikisha ubora, ukuaji, na ustawi wa tasnia ya muziki, hususan Muziki Mtakatifu. **Kumbuka:** Kama kuna link, Pdf na Mid zake au video itatumwa ndani ya kundi, iwe kwa ajili ya kujifunza na mfano kuhusu muziki mtakatifu kwa lengo la kubadilishana uzoefu tofauti na hapo basi Nyimbo, (Link, Pdf, Mid, Video) na matangazo vitumwe Jumapili pekee au kama mtu atakuwa ameomba atumiwe.

1K+ membersSWH

๐Ÿš€2๏ธโƒฃ6๏ธโƒฃPESA๐Ÿ’ฏ NEW PLATFORM๐ŸŒ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

*_๐ŸŒŠ๐Ÿ–ผ๏ธKARIBU UJIFUNZE๐Ÿ“š๐Ÿ“š JINSI GANI YA KUNUFAIKA UKIWA NA SIMU๐Ÿ“ฑ๐Ÿ“ฑ YAKO APO APO ULIPO๐Ÿซต๐Ÿซต KUPITIA MITANDAO๐Ÿคณ๐Ÿคณ YA KIJAMII KWA KUTUMIA CAMPUNY YA 26PESA _* *๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ณ26PESA* _hii ni platform ya online business๐Ÿ’ฑ inajiusisha na biashara za mtandaoni utangazaji wa matangazo mbali mbali ya macampuny mbali mbali ya ndani na Nje ya Nchi๐Ÿข_ *๐Ÿ’ณ๐Ÿ’ธ26PESA* _campuny hii itakuwezesha kutengeza pesa kuanzia 50,000 mpaka 100,000 kwa siku ukiwa apo apo ulipo unalipwa unapofanya kazi ya kupost matangazo ya campuny na utalipwa kulingana na IDADI ya watu watakao ona Tangazo kwa kila Tangazo utakalo post yaani kila views 1000_ *๐Ÿ’ณ๐Ÿ’ธ26PESA* _campuny hii itakupa OFA mbali mbali za kukufanya upende kufanya nayo kazi mfano wa OFA utaangalia video na Kulipwa 2000 mpaka 3000 kwa kila video kwa mitandao yote kama ๐Ÿ’ TikTok๐Ÿ’ Facebook๐Ÿ’ YouTube๐Ÿ’ Instagram๐Ÿ’  na utaekewa video 15 kila siku kwenye kila mtandao๐Ÿ“น_ utapewa GB5 Kila siku ambazo zitakufanya uipende Kazi yako nauifanye Bila wasiwasi๐Ÿค‘๐Ÿค‘ *๐Ÿ’ณ๐Ÿ’ธ26PESA* _yote ayo utayafanya ndani ya application ya 26PESA ambayo inapatikan play store Gusa link hii kudanlod application ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡_ ๐‘†๐‘œ๐‘œ๐‘› ๐‘–๐‘ก๐‘Ž๐‘ค๐‘’๐‘˜๐‘ค๐‘Ž ๐‘๐‘Ž๐‘™๐‘’ ๐‘๐‘™๐‘Ž๐‘ฆ๐‘ ๐‘ก๐‘œ๐‘Ÿ๐‘’. *ili kuanza kazi unaitajika kuwa na pesa 14000TZS ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ/=24500FC๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉkama kianzio cha kuwezesha utengenezaji wa account yako ifunguke ianze kupokea ela na iwekewe ulinzi wa kiserikali kuepuka matapeli wa Kimtamdaoโšช* *๐ŸŒLINK YA KUJISAJILI 26PESA PLARTFOM NI HII APA๐Ÿ‘‡* *GUSA LINK hiyo kujisajil๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡* https://26pesa.store/page/reg.php?reg=Deborah07 โ˜‘๏ธ Weka imel yako โ˜‘๏ธ Weka namba ya simu โ˜‘๏ธWeka Majina kamili ya hiyo namba ya simu โ˜‘๏ธWeka username, Mfano *ALIMA23* hakikisha unabananisha โ˜‘๏ธWeka Paswerd inaanzia na namba nne..... Mfano, 2020 โ˜‘๏ธ Rudia tena Paswerd Kam ulivo Weka mwanzo bila kukosea โ˜‘๏ธ Chagua inchi yako ๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰ Gusa neno *SIGN UP* *KISHA NITUMIE UNSERNAME YAKO ILI NIKUANGALIE KAM UPO KWENY KAMPUN KABLA HUJA LIPIA*

1K+ membersSWH

Related searches

Sports WhatsApp communitiesBrowse all communities