MAPAMBANO NA FARAJA GROUP ✍️ 📚
""Tegemea Mambo makuu kutoka Kwa Mungu. Thubutu Mambo makuu Kwa ajili ya Mungu""
Lengo la group hili nikujifunza Neno la Mungu katika
1. Kesha la Asubuhi
3. Mwongozo Wa Kujifunza Biblia/Lesson
4. Usomaji wa Biblia Kwa mpango pamoja na masomo mengine ya kiroho nk.
*SHERIA ZA GROUP*
1. Huruhusiwi kutuma link yoyote iliyo kinyume na Neno la Mungu
2. Hairuhusiwi kutuma Stika yoyote
3. Huruhusiwi kutoa lugha chafu/kejel, dharau, fujo, siasa sio mahala pake
4. Huruhusiwi kumentioned group kwa Status zako
5. Hairuhusiwi kutangaza biashara yoyote ndani ya group
Ukifanya Hivyo hatua Kali za kisheria zitachukuliwa dhidi Yako
6. Hairuhusiwi kutuma/kuanzia mada ikiwa kuna mada inaendelea
7. Hairuhusiwi kuanzia mada Somo bila lidhaa ya uongozi hivyo masomo yako yatafutwa
8. Hairuhusiwi kutoa taarifa zisizo za uhakika
9. Hairuhusiwi kutuma picha za uchi/video za *(X)* Ukifanya Hivyo utaondolewa
*Uwe mchangamfu na mwenye furaha pasipo kuendekezaa mambo hafifu au ya upuuzi.—Utani, mzaha, na mazungumzo ya kidunia ni vya dunia. Wakristo walio na amani ya Mungu mioyoni mwao, watakuwa wachangamfu na wenye furaha bila kujiingiza katika mambo hafifu au yasiyo na maana. Wanapokesha kwa maombi, watakuwa na utulivu na amani ambayo itawainua juu ya mambo yote yaliyopita kiasi.Testimonies for the Church 3:241. {PaM 38.1}*
WHATSAPP: [link hidden — subscribe to view]?mode=wwt
CHANNEL: [link hidden — subscribe to view]