Search the WhatsAd index of WhatsApp groups to find the best ones.
1 result in the WhatsAd group index
Verified invite link, member details and advertising options on WhatsAd.
Jina la Kundi: Wazalendo Halisi Sheria za Kundi 1. Heshima Kwanza – Hakuna matusi wala kejeli kwa mwanakundi yeyote. 2. Lugha ya Staha – Tumie Kiswahili fasaha na maneno ya kujenga. 3. Ujumbe Uwe wa Msingi – Epuka kusambaza habari zisizothibitishwa au zisizo na uhusiano na malengo ya kundi. 4. Maoni Yote Yanathaminiwa – Tofauti za mawazo ni ruksa, mradi tu yasielekee kwenye matusi au ugomvi. 5. Epuka Siasa Kali – Tujikite katika mazungumzo yenye tija na siyo yenye kuibua migawanyiko. 6. Usambazaji wa Taarifa Muhimu – Tuwe tunatumia kundi hili kupeana taarifa muhimu na maoni ya kujenga kuhusu kundi letu na shughuli zake. 7. Kusambaza Ratiba na Mipango – Kundi hili litakuwa sehemu rasmi ya kupanga, kushirikiana, na kujulishana kuhusu shughuli zetu. 8. Wasiliana kwa Hekima – Kila mmoja ana haki ya kuzungumza, tusikilizane.
Bonjour famille tunashukuru sana kwa kufungula iyi group. Fata admin inbox ili uluhusiwe kuwekwa mukundi letu la Wazalendo Halisi 2. *SHERIA ZA GROUPE LETU* *1. Heshima ni ya lazima* Hakuna kutukana, kubeza ao kusema maneno mabaya. *2. Heshimu lengo ya groupe* Tuma ujumbe wenye unaendana na mambo ya groupe. *3. Kataza pub na spam* Usitumie matangazo ao ujumbe za mingi bila ruhusa ya admins. *4. Tumia lugha ya heshima* Andika vizuri na kwa njia ya kueleweka na kila mutu. *5. Linda maisha ya siri ya watu* Usipost vitu za binafsi bila kukubaliwa na mwenyewe. *6.Epuka ujumbe za bure* Punguza “Bonjour”, emojis mingi ao maneno ya bure. *7. Heshimu muda ya wengine* Epuka kutuma message usiku sana kama si ya maana. *8. Hakuna malumbano ndani ya groupe* Kama kuna tatizo, malizana privé. *9. Heshimu admins* Fuata maamuzi yao bila ubishi. *10. Adhabu kwa kuvunja sheria* Onyo → kufutwa message → kutolewa ndani ya groupe.