CommunitiesKISWAHILI NGUZO YA UMOJA WA AFRIKA ( KISWAHILI A PILLAR OF AFRICAN UNITY)

KISWAHILI NGUZO YA UMOJA WA AFRIKA ( KISWAHILI A PILLAR OF AFRICAN UNITY)

300+ membersSWH

About this community

Hili ni kundi la Wana Afrika ambalo lina lengo la kukuza na kueneza lugha ya KISWAHILI barani na kuwaunganisha waafrika pamoja ili kujenga uchumi imara na umoja kwa kutumia lugha ya KISWAHILI. Lazima tuandike kitu kidogo kwenye kikundi kwa kiswahili kila siku: Nzuri👌🏾 Lazima tuheshimiane, -lazima uwe tayari kujifunza /kufundisha -Lazima uwe tayari kubadilishana maarifa -Lazima kuwa tayari kufuata kanuni na taratibu za kikundi -na kuwa tayari kukienzi kiswahili & -Sisi sie wahubiri Dini -Sisi sie wanasiasa wa majukwaa - Sisi ni Walimu wa Kiswahili karibuni tujifunze kuandika na kuongea Kiswahili Fasaha kwa manufaa ya wote. Ofisi zetu zipo, Barabara ya Bibi titi, kwenye jengo la MWL NYERERE HOUSE TOWER , KISUTU - ILALA, S.L.P. 55814 , DAR ES SALAAM- TANZANIA 🇹🇿 AFRIKA.

SWH
Unlock / View Community

Verified invite link, member details and advertising options on WhatsAd.

Related communities

RFI KISWAHILI (RF) Dar es Salama 24h sur 24 H Radio Télévision Internationale.

Sisi ni kituo cha dira ya Dunia RFI Ki Swahili 24/sur 24h

800+ membersSWH

UMOJA WA WAGOGO TANZANIA

📌 TAARIFA KWA MWANACHAMA MPYA - UMOJA WA WAGOGO UWT KUSAIDIANA Karibu sana kwenye Umoja wa Wagogo Tanzania (UWT) – Group la Kusaidiana. Hapa tunajenga umoja, tunashirikiana, na tunasaidiana katika kila changamoto zinazompata mwanachama wetu bila kujali alipo. 🎯 Lengo Kuu la Group la Kusaidiana (M-KOBA) Group hili limeanzishwa kwa ajili ya kusaidiana kifedha na kijamii pale mwanachama anapopatwa na tatizo au tukio linalohitaji msaada. Ni mfumo rasmi wa m-koba unaowawezesha wanachama kuchangia kidogo lakini kupata msaada mkubwa pale inapotokea dharura. 📝 Kabla ya Kujiunga na M-Koba Mwanachama yeyote mpya kabla ya kuunganishwa kwenye kundi la kusaidiana anatakiwa kufanya mambo yafuatayo: 1. Kumuona Admin Yoyote wa Group Lazima uwasiliane na admin yeyote wa Umoja ili upewe maelezo muhimu kuhusu jinsi m-koba unavyofanya kazi. 2. Kupata Maelezo Mafupi Admin atakuelezea sheria, ada ya mchango wa mwezi, utaratibu wa kusaidiana, namna ya kutoa taarifa za dharura, na majukumu ya kila mwanachama. 3. Kuthibitisha Kukubaliana na Masharti Baada ya kuelewa taratibu, mwanachama anathibitisha kuwa yuko tayari kufuata masharti na kuchangia kwa wakati. 4. Kuunganishwa Rasmi na M-Koba Baada ya hatua hizo kukamilika, ndipo admin atakuunganisha kwenye group rasmi la m-koba ili uwe sehemu ya mfumo wa kusaidiana. 💬 Kwa Nini Huu Utaratibu Ni Muhimu? Utaratibu huu umewekwa ili kuhakikisha kila mwanachama anayejiunga anatambua wajibu wake, anazingatia ushirikiano, na anajua haki zake pamoja na namna mfumo wa msaada unavyofanya kazi. Ni njia ya kulinda umoja na kuimarisha ushirikiano bila usumbufu. 🤝 Karibu Sana katika Safari ya Umoja na Msaada UWT Kusaidiana ni familia. Tunathamini kila mwanachama, tunasikilizana, na tunasimama pamoja. Ukishajiunga, unakuwa sehemu ya mkono mmoja wenye nguvu. Kwa maelezo zaidi, tafadhali wasiliana na admin yeyote aliyepo mtandaoni.

500+ membersSWH

UMOJA WAWAKRSTO AFRICA

*MUNGU NI MMOJA* *KUMWABUDU MUNGU PAMOJA TUMUSIFU MUNGU PAMOJA*

100+ membersLUA

🌍KISWAHILI NGUZO YA UMOJA WA AFRIKA (KINA)

Hili ni kundi la Wana Afrika ambalo lina lengo la kuwezesha KISWAHILI kuenea barani na kuwaunganisha waafrika pamoja ili kujenga uchumi imara na umoja kwa kutumia lugha ya KISWAHILI. Lazima tuandike kitu kidogo kwenye kikundi kwa kiswahili kila siku: Nzuri👌🏾 Lazima tuheshimiane, -lazima uwe tayari kujifunza /kufundisha -Lazima uwe tayari kubadilishana maarifa -Lazima kuwa tayari kufuata kanuni na taratibu za kikundi -na kuwa tayari kukienzi kiswahili & -Sisi sie wahubiri Dini -Sisi sie wanasiasa wa majukwaa - Sisi ni Walimu wa Kiswahili karibuni tujifunze kuandika na kuongea Kiswahili Fasaha kwa manufaa ya wote. Ofisi zetu zipo, Barabara ya Bibi titi, kwenye jengo la MWL NYERERE HOUSE TOWER , KISUTU - ILALA, S.L.P. 55814 , DAR ES SALAAM- TANZANIA 🇹🇿 AFRIKA.

79 membersSWH

TEAM UMOJA

Always keep to the purpose of the group! ... Do not spam the group! ... Don't be offended if others leave. ... Do politely excuse yourself before you leave a group. Post your message in one single chunk of text, don't post every word or sentence in a new message. *Group Rules* 1. Ground rule violations. 2.Treat each other with dignity and respect. 3. Avoid territoriality. 4. Listen actively to everyone. 5. Support each other in business and post your business. 6. Identity team weaknesses

32 membersEnglish