Search the WhatsAd index of WhatsApp groups to find the best ones.
1 result in the WhatsAd group index
Verified invite link, member details and advertising options on WhatsAd.
NO SELLS FOR EFOOTBALL ACCOUNT PLEASE
CHAMPIONS✨️ KLAUS MIKAELSON ×2🏆PREMIER LEAGUE!! BLACK LIONS ×1🏆KCL YELLOW ARMY×1🏆KCL SHERIA ZA GROUP 1️⃣ Lugha chafu Hakuna matusi, sauti za kumtukana mtu, au kejeli za kumdhalilisha mwanachama mwenzako. Utani unaruhusiwa kama mnaelewana, lakini ukimkosea mtu – umevunja sheria. 2️⃣ Faragha Haifai kuweka au kuficha taarifa za faragha bila ridhaa. Usitumie data za mtu, namba, au taarifa binafsi kumdhalilisha au kumdhuru. 3️⃣ Uongo / Taarifa zisizo sahihi Kutangaza uongo kuhusu mtu bila uthibitisho hakufai. Toa ushahidi kwanza kabla ya kuyapeleka malalamiko kwa admin. 5️⃣ Matangazo Tangaza kwa ustaarabu. Matangazo ya biashara yapishane na shughuli za mchezo. Hakuna kutuma links za vikosi au group/channel bila ruhusa ya admin. 6️⃣ Maudhui machafu Marufuku kutuma picha, video, au stika za utupu — hata kama ni vikaragosi (mchoro).