Sell or Monetize Your WhatsApp Groups, Channels, or Status โ€” No CommitmentsGet Instant Cash Offer

Search the WhatsAd Community Intelligence index of WhatsApp groups to find the best ones.

1 result in the WhatsAd group index

๐Ÿ’ฅLA ๐Ÿ†• JAURIA๐Ÿ”ซโšฐ๏ธ๐Ÿฆ…

100+ membersSWH

About this community

Trujillo โ˜ ๏ธ La Esperanza โ˜ ๏ธ El milagro โ˜ ๏ธEl Porvenir โ˜ ๏ธ Chicago โ˜ ๏ธ alto Moche โ˜ ๏ธ Lima Callao โ˜ ๏ธ ๐Ÿ’ฏpre Presente Rcsmre Una Sola Idea Cmtre Gerra Sea Con Quiรฉn Sea Hdpts โ˜ ๏ธโšฐ๏ธ๐Ÿ”ซ Todos Caen Al Final ๐Ÿ’ฏ๐Ÿ€๐Ÿ’ธ๐Ÿ™๐Ÿ’ฅ๐Ÿ”ซโ›“๏ธโ€๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฃโ›“๏ธ

SWH
Join Group

Verified invite link, member details and advertising options on WhatsAd.

More WhatsApp groups like this

Search more โ†’

WAZALENDO HALISI๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ 1

Jina la Kundi: Wazalendo Halisi Sheria za Kundi 1. Heshima Kwanza โ€“ Hakuna matusi wala kejeli kwa mwanakundi yeyote. 2. Lugha ya Staha โ€“ Tumie Kiswahili fasaha na maneno ya kujenga. 3. Ujumbe Uwe wa Msingi โ€“ Epuka kusambaza habari zisizothibitishwa au zisizo na uhusiano na malengo ya kundi. 4. Maoni Yote Yanathaminiwa โ€“ Tofauti za mawazo ni ruksa, mradi tu yasielekee kwenye matusi au ugomvi. 5. Epuka Siasa Kali โ€“ Tujikite katika mazungumzo yenye tija na siyo yenye kuibua migawanyiko. 6. Usambazaji wa Taarifa Muhimu โ€“ Tuwe tunatumia kundi hili kupeana taarifa muhimu na maoni ya kujenga kuhusu kundi letu na shughuli zake. 7. Kusambaza Ratiba na Mipango โ€“ Kundi hili litakuwa sehemu rasmi ya kupanga, kushirikiana, na kujulishana kuhusu shughuli zetu. 8. Wasiliana kwa Hekima โ€“ Kila mmoja ana haki ya kuzungumza, tusikilizane.

1K+ membersSWH

1;THE AVIATOR COLLECTIVE W๐ŸŒRLD

THE AVIATOR COLLECTIVE WORLD ๐ŸŒ โœ… Karibu kwenye ulimwengu wa ushindi na maarifa! Tunajihusisha kikamilifu na huduma za Aviator Training, ambapo tunafundisha kwa undani jinsi ya kucheza kwa umakini, nidhamu, na mikakati ya kisasa. ๐Ÿ’œ MAFUNZO YA AVIATOR โ€ข Tunatoa mafunzo ya kina kwa wachezaji wapya na wale wa kiwango cha kati. โ€ข Unajifunza namna ya kucatch Pink na Purple ๐Ÿ’œ kwa muda sahihi. โ€ข Tunakufundisha mbinu za kutambua pattern za mchezo, kudhibiti hasara, na kuongeza nafasi zako za ushindi. ๐Ÿš€ ACCOUNT MANAGEMENT (HUDUMA YETU KUBWA ZAIDI) โ€ข Kama unataka utulivu na faida bila stress, tuachie sisi tusimamie akaunti yako. โ€ข Tunahakikisha kila mzunguko unasimamiwa kitaalamu, ukiwa na uwiano mzuri wa risk & profit. โ€ข Wateja wetu wengi wameshuhudia matokeo ya kweli na ukuaji wa haraka wa salio. โ€ข Tunatoa updates na feedback kila siku ili uhakikishe fedha zako zipo salama na zinatumiwa kwa busara. ๐Ÿง  FORMULATION YA SIGNAL ZA UHAKIKA โ€ข Kwa wale wanaopenda kujitegemea, tunafundisha namna ya kutengeneza signal zenye accuracy kubwa. โ€ข Signal hizi hutegemea uelewa na uchambuzi, si bahati tu โ€” tunakufundisha namna ya kufikiri kama mtaalamu. โ€ข Kila signal inatengenezwa kwa kutumia real-time analysis na timing control. โš ๏ธ ANGALIZO MUHIMU: โ€ข Aviator ni mchezo wa kiakili, si wa miujiza. โ€ข Hakuna app yenye uwezo wa kupredict mizunguko ya Aviator kwa asilimia ๐Ÿ’ฏ โ€” yeyote anayekuambia hivyo anakudanganya. โ€ข Ushindi unategemea nidhamu, mikakati, na maarifa sahihi. ๐Ÿ’ธ KWA NINI UCHAGUE SISI? โœ… Tunatoa support 24/7 kwa wateja wetu. โœ… Tunafanya transparent management bila ujanja wala hila. โœ… Tunakupa motivation na mwongozo kila siku ili ujifunze huku unapata matokeo. โœ… Tunajali pesa zako โ€“ tunasimamia kwa uadilifu na uangalizi wa kitaalamu. ๐Ÿ”ฅ Jiunge leo na THE AVIATOR COLLECTIVE WORLD โ€“ Ulimwengu wa mafanikio, nidhamu, na akili ya ushindi! ๐Ÿš€ ๐Ÿ“ž Kwa huduma ya Account Management, wasiliana na: ๐Ÿ‘‰ Sir Kelvin: ๐Ÿ‘‰ Sir Martin: ๐ŸŽฏ Awa ndio wakali wa game! ๐Ÿ˜‚

1K+ membersSWH

NIKIZA SANITARIUM CLINIC

NIPENDE KUWAALIKA NDANI YA TAASISI YA AFYA KUPATA ELIMU YA AFYA KWA JINSIA ZOT. ELIMIKA, OKOA MAISHA, PENDA KUPIMA AFYA YAKO.

1K+ membersSWH

๐Ÿš€2๏ธโƒฃ6๏ธโƒฃPESA๐Ÿ’ฏ NEW PLATFORM๐ŸŒ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

*_๐ŸŒŠ๐Ÿ–ผ๏ธKARIBU UJIFUNZE๐Ÿ“š๐Ÿ“š JINSI GANI YA KUNUFAIKA UKIWA NA SIMU๐Ÿ“ฑ๐Ÿ“ฑ YAKO APO APO ULIPO๐Ÿซต๐Ÿซต KUPITIA MITANDAO๐Ÿคณ๐Ÿคณ YA KIJAMII KWA KUTUMIA CAMPUNY YA 26PESA _* *๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ณ26PESA* _hii ni platform ya online business๐Ÿ’ฑ inajiusisha na biashara za mtandaoni utangazaji wa matangazo mbali mbali ya macampuny mbali mbali ya ndani na Nje ya Nchi๐Ÿข_ *๐Ÿ’ณ๐Ÿ’ธ26PESA* _campuny hii itakuwezesha kutengeza pesa kuanzia 50,000 mpaka 100,000 kwa siku ukiwa apo apo ulipo unalipwa unapofanya kazi ya kupost matangazo ya campuny na utalipwa kulingana na IDADI ya watu watakao ona Tangazo kwa kila Tangazo utakalo post yaani kila views 1000_ *๐Ÿ’ณ๐Ÿ’ธ26PESA* _campuny hii itakupa OFA mbali mbali za kukufanya upende kufanya nayo kazi mfano wa OFA utaangalia video na Kulipwa 2000 mpaka 3000 kwa kila video kwa mitandao yote kama ๐Ÿ’ TikTok๐Ÿ’ Facebook๐Ÿ’ YouTube๐Ÿ’ Instagram๐Ÿ’  na utaekewa video 15 kila siku kwenye kila mtandao๐Ÿ“น_ utapewa GB5 Kila siku ambazo zitakufanya uipende Kazi yako nauifanye Bila wasiwasi๐Ÿค‘๐Ÿค‘ *๐Ÿ’ณ๐Ÿ’ธ26PESA* _yote ayo utayafanya ndani ya application ya 26PESA ambayo inapatikan play store Gusa link hii kudanlod application ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡_ ๐‘†๐‘œ๐‘œ๐‘› ๐‘–๐‘ก๐‘Ž๐‘ค๐‘’๐‘˜๐‘ค๐‘Ž ๐‘๐‘Ž๐‘™๐‘’ ๐‘๐‘™๐‘Ž๐‘ฆ๐‘ ๐‘ก๐‘œ๐‘Ÿ๐‘’. *ili kuanza kazi unaitajika kuwa na pesa 14000TZS ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ/=24500FC๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉkama kianzio cha kuwezesha utengenezaji wa account yako ifunguke ianze kupokea ela na iwekewe ulinzi wa kiserikali kuepuka matapeli wa Kimtamdaoโšช* *๐ŸŒLINK YA KUJISAJILI 26PESA PLARTFOM NI HII APA๐Ÿ‘‡* *GUSA LINK hiyo kujisajil๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡* https://26pesa.store/page/reg.php?reg=Deborah07 โ˜‘๏ธ Weka imel yako โ˜‘๏ธ Weka namba ya simu โ˜‘๏ธWeka Majina kamili ya hiyo namba ya simu โ˜‘๏ธWeka username, Mfano *ALIMA23* hakikisha unabananisha โ˜‘๏ธWeka Paswerd inaanzia na namba nne..... Mfano, 2020 โ˜‘๏ธ Rudia tena Paswerd Kam ulivo Weka mwanzo bila kukosea โ˜‘๏ธ Chagua inchi yako ๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰ Gusa neno *SIGN UP* *KISHA NITUMIE UNSERNAME YAKO ILI NIKUANGALIE KAM UPO KWENY KAMPUN KABLA HUJA LIPIA*

1K+ membersSWH

๐–๐ˆ๐‹๐ƒ๐‹๐ˆ๐…๐„ ๐’๐“๐Ž๐‘๐˜ ๐Ÿด๐Ÿซ๐Ÿƒ

0748287628 *๐•‚๐”ธโ„•๐•Œโ„•๐•€ โ„•๐”ธ ๐•„๐”ธ๐•Šโ„๐”ธโ„๐•‹๐•€ ๐•๐”ธ ๐”พโ„๐•†๐•Œโ„™ ๐•ƒ๐”ผ๐•‹๐•Œ ๐•ƒ๐”ธ ๐•Ž๐•€๐•ƒ๐”ป๐•ƒ๐•€๐”ฝ๐”ผ ๐•Š๐•‹๐•†โ„๐•* A:WILDLIFE STORY NI GROUP LINALOJADILI HABARI ZINAZOHUSU WANAYAMA PORI NA MAZINGIRA KWA UJUMLA. B: PIA GROUP LETU LINAHUSIKA NA HABARI MPASUKO (BREAKING NEWS) NA MATUKIO MBALIMBALI YA SAMPULI HIYO NDANI NA NJE YA NCHI. *KANUNI/MASHARTI.* *1. (a)Ni Marufuku kutuma Matangazo ya biashara, bidhaa, au huduma binafsi isipokuwa yatolewe ruhusa na wasimamizi wa kundi.* *( b)ni marufuku kutuma. link ya mtandao wowote ule kwenye group hili.* *2.Ni marufuku kutuma Picha na Video za utupu(ร—).TumaPicha na video zinazohusiana na wanyama na mazingira tu ndizo zinazokubalika.* *3. Hairuhusiwi kutuma na kueneza habari za uongo, uvumi, au taarifa zisizo na vyanzo. Hakikisha habari zote unazotuma zimethibitishwa.* *4. Ni Wajibu kwa kila member (mwanagroup)kuheshimu mwenzake na usitume matusi, lugha za matusi, au ujumbe wenye chuki au ubaguzi kwa mwenzako.* *5. Huruhusiwi kuchukua au kusambaza taarifa binafsi za washiriki (wanagroup)bila ruhusa.* *6. Mawasiliano ya Faragha ndani ya kundi hayaruhusiwi. Masuala binafsi na mawasiliano yasiyohusu kundi yafanyike nje ya kundi.* *7. Kuheshimu Wasimamizi (MA ADMIN): Fuata maelekezo ya ma admin na heshimu uamuzi wao kwa maslahi ya kundi.* *8. Ni ruksa kila mwanagroup kutoa Mchango ndani ya group: Lengo kuu liwe kutoa na kueneza elimu na kujenga jamii yenye uelewa kuhusu wanyama na mazingira.* *9. Hairuhusiwi kivyovyote vile kutuma picha au video zenye zimeundwa kwa kutumia akili nemba (AI), sababu kuu ni kuhimiza tasnia ya WILDLIFE na kundi la WILDLIFE STORY lisalie katika uhalisia wake. Kosa la kukiuka kanuni hii ni kuondolewa mara moja pasipo mjadala wowote.* *NB; Kanuni hizi zinalenga kudumisha utaratibu na heshima katika kundi.ukienda kinyume na masharti hayo utaondolewa kwenye group mara moja.* PIA WANA GROUP TUNAOMBA MUONESHE USHIRIKIANO WA KUCHANGIE MAADA USIPITE TU, AU USIWE WEWE NI MTU WA KUSOMA TU NA KUPITA

1K+ membersSWH

๐— ๐—ฅ ๐—ก๐—ข ๐—ง๐—œ๐— ๐—˜ ๐”ป๐”ธ๐•‹๐”ธ

โš ๏ธTANGAZO MAALUMU LENYE TAHADHARI NDANI YAKE โš ๏ธ. GRUPU HILI LINAHUSIKA NA HUDUMA YA 1. VIFURUSHI VYA BEI NAFUU KWA MITANDAO YOTE TANZANIA. 2. HUDUMA ZA LAPTOP KWA BEI NAFUU KABISA. 3. HUDUMA ZA SIMU KWA BEI NAFUU KABISA. 4. NA HUDUMA NYINGINE KWAAJILI YA MSAADA KWAKO MDAU WANGU ILI KUFANYA MAMBO YAWE RAHISI. โš ๏ธโŒTAFADHALI USIPOST KITU NJE NA HIVYO AU USIPOST BIASHARA YAKO YA AINA YOYOTE HAPA.โŒโš ๏ธ `PIA HAKIKISHA UNAPATA HUDUMA KUTOKA KWA ADMIN NA NAMBA ZA ADMIN AU MMILIKI WA GROUP NI TATU TU` [contact hidden]. NB: HUU NI UJUMBE WA ANGALIZO TU ILA SIO KATAZO, HIVYO UKIONA UMERIDHIKA NA HUDUMA KUTOKA KWA MTU MWINGINE NI SAWA ILA YATAKAYOKUKUTA SI DHAMANA YANGU. KARIBU SANA KWA HUDUMA BORA NA ZENYE UHAKIKA HAPA MR NO TIME DATA

1K+ membersSWH