MJENZI WA NYUMBA TZ

100+ membersSWH

About this community

*Karibu sana wadau wote!* Grupu hili limeanzishwa kwa ajili ya *kupeana uzoefu kuhusu ujenzi wa nyumba* zako na za wateja wako. Hapa utapata: - Mafundi waaminifu wa kazi zote, - Bidhaa bora za ujenzi, - Ushauri na majibu ya maswali yote yahusuyo ujenzi. *Unaruhusiwa:* - Kushauriana na kushirikiana mawazo yanayohusu ujenzi wa nyumba, - Kujadili mada zinazohusu ujenzi, - Kutangaza biashara yoyote inayohusiana na sekta ya nyumba (jumatano na jumapili pekee). *Hairuhusiwi:* - Lugha za matusi au kejeli, - Picha au maudhui yasiyo na maadili, - Mijadala isiyohusiana na ujenzi. *Ukikiuka masharti haya, utaondolewa kwenye group bila taarifa na hautarejeshwa tena.* Karibu tujenge pamoja! Nyumva bora hujengwa na fundi bora.

SWH
Unlock / View Community

Verified invite link, member details and advertising options on WhatsAd.

Related communities