*TUNAWA KARIBISHA WAPENDWA WOTE KWA UPENDO KATIKA YESU KRISTO BWANA WETU* . GROUP HILI KWA AJILI YA MKRISTO WA KWELI NA KILA MTU ANAYE PENDA KUWA MKRISTO WA KWELI!! *LENGO LA GROUP HILI NIKU UBIRI NENO LA MUNGU ABARI YA UFALME WA MUNGU ILI WATU WA AMINI NA KUBATIZWA ILI WAOKOKE ZAIDI WAJUWE UKWELI NA KUISHI MAISHA YA UTAKATIFU* . *MAMBO INAYO RUHUSIWA* 1 Kuhubiri neno la Mungu 2 Kumsifu Mungu kwa nyimbo, maneno, shukrani na pongezi kwa Mungu kuusu Muhubiri wa siku. 3 Kuomba na kuombea maitaji mbalimbali, na kumu abudu Mungu. 4 Kusaidia Wajane na Yatima kwa mavadhi , pesa , viatu , chakula, n.k ----------------------------------- *SHERIA YA GROUP YASIO RUHUSIWA* 1 Hairuhusiwi kutuma video na picha chafu. 2 Hairuhusiwi kutuma links yo yote ya YouTube 3 Hairuhusiwi kutuma matangazo ya biashara au marketing yo yote. 3 Hairuhusiwi kuhubiri au kufundisha kama hukupangwa kwenye program (RATIBA) 4 Hairuhusiwi Mabishano, matusi , dharau, n.k 5 Hairuhusiwi kutuma Muhubiri, Mafundisho , ya imani ingine, ya Dini ingine, tofauti ya Yesu Kristo. ------------------------------------------- ASANTE SANA WATUMISHI WA MUNGU NA MWISHO TUPENDANE SANA KATIKA GROUP HILI UPENDO WA KI MUNGU ( AGAPE) *NI UONGOZI WA KANISA MKRISTO WA KWELI* . *GROUPE:MKRISTO WA KWELI* . *LENGO NA SHABAHA YA GROUPE HII:* 👇👇 (1) Ni kukusanya watumishi wa bwana mahali pote ulimwenguni,yaani ni groupe ya watoto wa Mungu Na watumishi wa Mungu 2) Ni groupe ya Mahubiri,Na mafundisho kuusu mambo ya Siku za mwisho, nyakati za mwisho, 3).Juu ya huamusho wa magaribi 4).Kujua majira Na nyakati tuliomo, 5) Kuhusu mnyama (mpinga kristo) 6) Kunyakuliwa kwa kanisa 7). Mabadiliko ya vipindi f6ygfyftff 8). Kuusu uamusho wa magaribi ( saa ya mwisho) majira Na nyakati tuliomo 9). Kuusu watumishi 9. Kutayarisha bibi arusi 10).mafundisho ya NENO la wakati 11). Anguko la madhehebu 12). Manabii wa uongo Na machristo ya uongo
Verified invite link, member details and advertising options on WhatsAd.
*SHERIA NA TARATIBU ZA GROUP MIJADALA INJILI YA KWELI INTERNATIONAL MINISTRY* Group hili Ni group huru kwa kila mtu, kwa ajili ya kujifunza neno la Mungu kwanjia ya mijadala, mafundisho na maswali n.k. 1 *NI RUHUSA KWA KILA MTUMISHI KUHUBIRI NENO LA MUNGU MDA WO WOTE, KATIKA HAKI NA KWELI YA INJILI YA KRISTO BILA KUPANGWA KWENYE RATIBA.* Wakolosai 3 16 Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo, na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu. __________________________ 2 *TUNARUHUSU MADA KUJADILIWA MOJA MOJA, KWA UTARATIBU MOJA BAHADA NYINGINE KWA FAIDA YA KILA MTU.* 1 Petro 3 15 Mwe tayari siku zote kumjibu kila mtu awaulizaye habari za tumaini lililo ndani yenu; lakini kwa upole na kwa hofu. _________________________ 3 *MADA IKIWA NGUMU NI RUHUSA KUINGIA CONFERENCE ,KWA MAELEZO ZAIDI* __________________________ 4 *INARUHUSIWA KWA KILA MTU KUTOA MADA , ILA ZAMU KWA ZAMU* . __________________________ 5 *MSAHADA KWA MMOJA WETU MWENYE SHIDA, MSIBA, HARUSI N.K INARUHUSIWA KAMCHANGIA NDUGU KATIKA KRISTO, SI KWA LAZIMA WALA KWA SHERIA,BALI KWA HIARI* Wagalatia 6 10 Kwa hiyo kadiri tupatavyo nafasi na tuwatendee watu wote mema; na hasa jamaa ya waaminio. __________________________ 6 *MATUSI NA DHARAU HAVIRUHUSUWE. UKI ONYWA MARA 3 KAMA HUSIKIE, BASI UTA TOLEWA KWENYE GROUP.* Waefeso 5 3 Lakini uasherati usitajwe kwenu kamwe, wala uchafu wo wote wa kutamani, kama iwastahilivyo watakatifu; 4 wala aibu wala maneno ya upuzi wala ubishi; hayo hayapendezi; bali afadhali kushukuru. __________________________ 7 *WATUMISHI WANAO* *FUNDISHA MARUFUKU KUOMBA* *PESA AU* *SADAKA KWA KUKAZA NA* *KULAZIMISHA WATU,* *HUSIKIE* *UTATOLEWA NJEE* 2 Wakorintho 9 7 Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu. __________________________ 8 *HAIRUHUSIWE KUTONGOZA WAKE ZA WATU AU KUSUMBUA WATU INBOX, HUSIKIE UTATOLEWA By Ev Mayenge Dieumerci S
Group hili linahusu kushirikiana pamoja kuandaa Ibada mbalimbali za makanisa mbalimbali ibada za kusifu na kuabudu kama matamasha mikesha makongamano semina na matukio mbalimbali ya kikristo na pia group hili tutapeana ushirikiano mwenzetu akipata shida tutamsaidia tunahitaji umoja na ushirikiano
*_TUMSIFU YESU KRISTO_* _"Yesu Angekuwa ana Mpango wa *KUKUACHA;* Asingeenda Kwa Baba Yake KUKUANDALIA MAKAO ili *ALIPO YEYE NA WEWE UWEPO"*_ *_UNAKARIBISHWA SASA KUJIUNGA NA KUNDI HILI KWA TAFAKARI, MASOMO NA NYIMBO ZA KUBURUDISHA NAFSI ZETU.._* _Lengo Likiwa *KUTAKATIFUZA* Malimwengu..✍_