CommunitiesNENO LA MUNGU NI NJIA YA UZIMA๐Ÿ“–

NENO LA MUNGU NI NJIA YA UZIMA๐Ÿ“–

300+ membersSWH

About this community

MATHIEU 28:18-20 ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ผ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ“–๐ŸŽค ๐ŸŽค๐ŸŽค๐ŸŽค๐ŸŽค๐ŸŽค๐ŸŽค๐ŸŽค Mathayo 28 18 Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani. 19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; 20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.

SWH
Unlock / View Community

Verified invite link, member details and advertising options on WhatsAd.

Related communities

NENO LA UZIMA

SHALOM NA KARIBU[contact hidden] KWAWAGENYI WETU NDANI YAKUNDI LETU NENO LA UZIMA KUNIHILI LINAUSIANA NA NENO LA MUNGU NAMAFUNDISHO NUHUU NDIO UTARATIBU WETU 1 HAUPASHWE KUTUMA MAUBIRI BILA KUONA VYONGOZI WAKUPANGE 2) MAFUNDISHO KINYUME NA BIBLIA AMA NENO LA MUNGU HALIRUHUSIWE 3) APANAKUTUMA NGANI LINK YOYOTE VIDIO CHAFU , POLITIQUES HAIRUSIWE NDANI 4) TONATAKIWA KUTOWA MUCHANGO WETU WA KUSAIDIYA NASISI KWAMAGONJWA ,KWASHIDA NAVILIO TOWAMCHANGO WAKO WAMWEZI KWANZIA 4000FC NAKWENDELEA KULINGANA NAPATOYAKO TUESHIMIYANE 5)SIKU YAMASWALI NAMAJIBU INAKUOMBA ULIZA SWALIMBILI SUBURI MAJIBU NAKAMA HALIJA JIBIWA USITIYE NYINGINE NB : NDANIYA KUNDI HILI MNAWATU WADINI AMA DHEHEBU MBALIMBALI PASIWE MATUSI NAMBAYETU YAKUTOWEYA MUCHANGO WAKONI [contact hidden]wapendwa.hii ni taratibu ya groupe letu umu ni neno la mungu thu na maswali ku husu neno thu. โ€Ž1 umu ndani si nafasi ya matangazo ama picha mbali mbali ama vidรฉo yoyote. โ€Ž2 kila mutu ndana anapashwa kuongeya si ku kaa kimya. โ€Ž3heshima kwa kila mutu ni ya maana sana.walimu watapangwa kila wiki. โ€Ž4 vidรฉo yoyote itvutwa na picha ,mwenye kiti ata panga kila kitu. salamu kwenu๐Ÿ™…

900+ membersSWH

MOISE GABRIEL E.M.E.N. YESU NI MUNGU

MWISHO UMEKARIBIYA UNABII UNATIMIYA TUBU da Matayo 24.1

800+ membersHAU

NENO LA UZIMA๐Ÿ“–๐ŸŒน

โœ๏ธSababu ya Yesu kuja Duniani. Yohana3:16_18 โœ๏ธAgizo la mwisho na kuu katika Biblia Kabla ya Yesu kuondoka duniani Mathayo 28:19 โœ๏ธMWONGOZO WA GROUP๐Ÿ‘‡ 1)Karibu katika Group kujifunza Neno la Mungu,kusifu na kuabudu, Mahusiano kabla ya ndoa, mafundisho ya ndoa, n.k maswali na majibu. mijadara mbali mbali ya kujenga kuhusu ufalme wa Mungu๐Ÿ™ 2) Kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya Neno la Mungu anaweza kufundisha au kujibu maswali humu wote ni sawa hakuna alie Bora zaidi ya mwingine tujifunze pamoja 3Humu tunahitaji kujifunza Neno la Mungu la kweli hatuhitaji mafundisho potofu ukileta mada au SOMO ambatanisha na maandiko tujifunze pamojaโœ๏ธ 4) Humu tunahitaji Mada za kutujenga na maswali ya kutufunua kuelewa kuhusu ufalme wa Mungu โœ๏ธIsaya 41 : 21 Haya, leteni maneno yenu, asema Bwana; toeni hoja zenu zenye nguvu, asema mfalme wa Yakobo. ๐Ÿ“…โค _*RATIBA YA WIKI - NENO LA UZIMA* ๐Ÿ“ *VITU VYA KUZINGATIA KATIKA RATIBA HII YA MADHABAHU YA NENO LA UZIMA* : โœ๏ธKila Swali Unalohitaji kuuliza Katika RATIBA ya siku Husika Au Ukijibu Swali โœ๏ธMaswali na Majibu Yote Yawe kwa Muongozo Wa Biblia Ukiuliza au kujibu Swali Ambatanisha Na Andiko,๐Ÿ“– ๐Ÿ—“๏ธ *JUMAPILI* ๐ŸŒŽ Mafundisho ya Neno la Mungu. TUMA KILE ULICHOJIFUNZA KANISANI ๐Ÿ“– Andiko: Waebrania 4:12 ๐Ÿ—“๏ธ *JUMATATU* *ULAFIKI, UCHUMBA MAHUSIANO KABLA YA NDOA, JINSI GANI KIJANA ASIMAME KIUCHUMI NA KIROHO KATIKA KUMTUMIKIA MUNGU* ๐Ÿ“– Andiko: 1 Wakorintho 6:18 ๐Ÿ—“๏ธ *JUMANNE* ๐ŸŒŽ Mafundisho ya Neno la Mungu (tena)๐Ÿ“– Andiko: Warumi 10:17 ๐Ÿ—“๏ธ *JUMATANO* ๐ŸŒŽ Maswali na Majibu KATIKA Biblia๐Ÿ“– ๐Ÿ—“๏ธ *_ALHAMISI_* ๐ŸŒŽ Ndoa na Majukumu (Maswali & Changamoto) ๐Ÿ“– Andiko: Waefeso 5:22-25 ๐Ÿ—“๏ธ *IJUMAA* ๐ŸŒŽKuukulia Wokovu (Shuhuda & Maswali ya Kiroho) ๐Ÿ“– Andiko: 2 Wakorintho 5:17 ๐Ÿ—“๏ธ *JUMAMOSI* ๐ŸŒŽ Afya na Uchumi (Maswali & Mafunzo) ๐Ÿ“– Andiko: Mithali 21:5 ๐Ÿ™ *ASANTENI SANA TUSHILIKIANE KUUJENGA MWILI WA KRISTO (KANISA*) *1Wakorinto 12:1--15*

600+ membersSWH

Group la neno la Mungu na maombi hili ni Kanisa ibada za mafundisho neno la Mungu karibuni sana

Group hili linahusu kushirikiana pamoja kuandaa Ibada mbalimbali za makanisa mbalimbali ibada za kusifu na kuabudu kama matamasha mikesha makongamano semina na matukio mbalimbali ya kikristo na pia group hili tutapeana ushirikiano mwenzetu akipata shida tutamsaidia tunahitaji umoja na ushirikiano

200+ membersSWH

GROUPE {{NENO LA MUNGU NI UZIMA}}.

NENO LA MUNGU NI UZIMA. Matendo ya mitume 13:46 Ufunuo w Yoane 2:7

100+ membersKMB

JINSI GANI KIJANA AISAFISHE NJIA YAKE KWA KUTII NENO LA MUNGU.

๐Ÿ“ŒKARIBUNI TUJIFUNZE BIBLIAโœ๏ธ ๐Ÿ“ŒHOLINESS IS OUR PRIORITY.โœ๏ธ ๐Ÿ“ŒKUHUBIRI UTAKATIFU NDIO KIPAUMBELE CHETU.โœ๏ธ SHERIA ZA GROUP ๐Ÿ“Œ โœ๏ธSIO RUHUSA KUTUMA MATANGAZO YOYOTE NDANI YA GROUP. โœ๏ธLUGHA ZA MTAANI HAZIRUHUSIWI โœ๏ธHATURUHUSU KUTUMA LINKS ZA MAKUNDI MENGINE HUMU โœ๏ธTUNARUHUSU KUTUMA MAMBO YAHUSUYO BIBLIA PEKEE YAKE โœ๏ธNI VIZURI KUSHIRIKIANA NA WENGINE WANAPO JIFUNZA

100+ membersSWH