*_π₯ KARIBU KWENYE GROUP LA RAMAN & UJENZI tz..!!! π₯_* *Hapa tunakuletea wataalam wa fan mbalimbal za ujenz kwa huduma bora na za kitaalam, zenye lengo la kuhakikisha mirad yako inakamilika kwa ubora unaotakiwa. Huduma zetu ni pamoja na:* 1οΈβ£ Ubunifu wa Raman za Kisasa *βοΈ Raman ni mwongozo wa ujenzi mzima β bila raman nzur, ujenzi hauwez kufuata vipimo sahih.* *βοΈ Inasaidia kuepuka makosa ya kiufund ambayo yanaweza kuongeza gharama za ujenz.* *βοΈ Raman nzur inahakikisha unatumia nafas kwa ufanis, ikizingatia upepo, mwangaza, na uimara wa jengo.* 2οΈβ£ Ushaur wa Kitaalam juu ya Ujenz *βοΈ Unapopata ushaur wa kitaalam, unajua gharama sahih za mrad wako na unakwepa matumiz yasiyo ya lazima.* *βοΈ Inakusaidia kujenga kwa kufuata viwango vya kitaifa na kimataifa vya ujenz ili kuepuka matatizo ya baadaye.* 3οΈβ£ Makadirio ya Gharama za Ujenz *βοΈ Kujua bajeti ya ujenz kabla ya kuanza kunakusaidia kupanga fedha zako vizur.* *βοΈ Kuepusha mshtuko wa gharama kubwa zisizotarajiwa wakat ujenz unaendelea.* *βοΈ Kupata makadirio sahih ya vifaa na gharama za mafund ili kuepuka upotevu wa fedha.* 4οΈβ£ Huduma za Finishing, Waterproofing & Decoration *βοΈ Finishing nzur inafanya jengo lako lionekane la kisasa na lenye thaman kubwa.* *βοΈ Waterproofing inazuia kuvuja kwa maj, hivyo kulinda jengo lako dhid ya uharibifu wa mapema.* *βοΈ Decoration huongeza mvuto wa jengo, iwe ni nyumba, hotel, au ofis, na kuongeza thaman yake sokon.* 5οΈβ£ Ufundi wa Mabat na Kaz za Roofing.. *βοΈ Paa ni ulinz wa kwanza wa jengo lako dhidi ya mvua, jua kali, na upepo mkal.* *βοΈ Kuweka paa kwa usahih kunahakikisha uimara wa muda mrefu na kupunguza gharama za matengenezo ya mara kwa mara.* 6οΈβ£ Renovation & Extensions (Ukarabat na Upanuz wa Majengo) *βοΈ Renovation (ukarabat) huongeza uimara wa jengo lililochakaa, likirudishwa katika hal bora kwa matumiz.* *βοΈ Extensions (upanuz) husaidia kuongeza nafas kwenye jengo lako bila kuhitaj kujenga upya.* *βοΈ Ukarabat husaidia kuongeza thaman ya mal yako, hasa kwa nyumba za biashara au makaz ya muda mrefu.*
Verified invite link, member details and advertising options on WhatsAd.
ZINGATIA β lugha za matus haziluhusiwi usipo chart mda mrefu tunakutoa stika za matus haziluhusiwi link za magroup mengne na link zozote zile haziluhusiwi humu Matangazo ya biashara ya haina yeyote hairuhusiwi zaidi ya matangazo ya kazi π¬ππΎπππππ πππΎπππΊππ ππΊ ππ πππΎπππππππΎ ππΊπππππππ ππππΊπ πππππ ππππΏπΊπππΊ ππππ πππΊπππ½ππ πΎππΊ πππΊ πππππ β¬οΈ [link hidden β subscribe to view]
Jina la Kundi: Wazalendo Halisi Sheria za Kundi 1. Heshima Kwanza β Hakuna matusi wala kejeli kwa mwanakundi yeyote. 2. Lugha ya Staha β Tumie Kiswahili fasaha na maneno ya kujenga. 3. Ujumbe Uwe wa Msingi β Epuka kusambaza habari zisizothibitishwa au zisizo na uhusiano na malengo ya kundi. 4. Maoni Yote Yanathaminiwa β Tofauti za mawazo ni ruksa, mradi tu yasielekee kwenye matusi au ugomvi. 5. Epuka Siasa Kali β Tujikite katika mazungumzo yenye tija na siyo yenye kuibua migawanyiko. 6. Usambazaji wa Taarifa Muhimu β Tuwe tunatumia kundi hili kupeana taarifa muhimu na maoni ya kujenga kuhusu kundi letu na shughuli zake. 7. Kusambaza Ratiba na Mipango β Kundi hili litakuwa sehemu rasmi ya kupanga, kushirikiana, na kujulishana kuhusu shughuli zetu. 8. Wasiliana kwa Hekima β Kila mmoja ana haki ya kuzungumza, tusikilizane.
THE AVIATOR COLLECTIVE WORLD π β Karibu kwenye ulimwengu wa ushindi na maarifa! Tunajihusisha kikamilifu na huduma za Aviator Training, ambapo tunafundisha kwa undani jinsi ya kucheza kwa umakini, nidhamu, na mikakati ya kisasa. π MAFUNZO YA AVIATOR β’ Tunatoa mafunzo ya kina kwa wachezaji wapya na wale wa kiwango cha kati. β’ Unajifunza namna ya kucatch Pink na Purple π kwa muda sahihi. β’ Tunakufundisha mbinu za kutambua pattern za mchezo, kudhibiti hasara, na kuongeza nafasi zako za ushindi. π ACCOUNT MANAGEMENT (HUDUMA YETU KUBWA ZAIDI) β’ Kama unataka utulivu na faida bila stress, tuachie sisi tusimamie akaunti yako. β’ Tunahakikisha kila mzunguko unasimamiwa kitaalamu, ukiwa na uwiano mzuri wa risk & profit. β’ Wateja wetu wengi wameshuhudia matokeo ya kweli na ukuaji wa haraka wa salio. β’ Tunatoa updates na feedback kila siku ili uhakikishe fedha zako zipo salama na zinatumiwa kwa busara. π§ FORMULATION YA SIGNAL ZA UHAKIKA β’ Kwa wale wanaopenda kujitegemea, tunafundisha namna ya kutengeneza signal zenye accuracy kubwa. β’ Signal hizi hutegemea uelewa na uchambuzi, si bahati tu β tunakufundisha namna ya kufikiri kama mtaalamu. β’ Kila signal inatengenezwa kwa kutumia real-time analysis na timing control. β οΈ ANGALIZO MUHIMU: β’ Aviator ni mchezo wa kiakili, si wa miujiza. β’ Hakuna app yenye uwezo wa kupredict mizunguko ya Aviator kwa asilimia π― β yeyote anayekuambia hivyo anakudanganya. β’ Ushindi unategemea nidhamu, mikakati, na maarifa sahihi. πΈ KWA NINI UCHAGUE SISI? β Tunatoa support 24/7 kwa wateja wetu. β Tunafanya transparent management bila ujanja wala hila. β Tunakupa motivation na mwongozo kila siku ili ujifunze huku unapata matokeo. β Tunajali pesa zako β tunasimamia kwa uadilifu na uangalizi wa kitaalamu. π₯ Jiunge leo na THE AVIATOR COLLECTIVE WORLD β Ulimwengu wa mafanikio, nidhamu, na akili ya ushindi! π π Kwa huduma ya Account Management, wasiliana na: π Sir Kelvin: π Sir Martin: π― Awa ndio wakali wa game! π
β οΈTANGAZO MAALUMU LENYE TAHADHARI NDANI YAKE β οΈ. GRUPU HILI LINAHUSIKA NA HUDUMA YA 1. VIFURUSHI VYA BEI NAFUU KWA MITANDAO YOTE TANZANIA. 2. HUDUMA ZA LAPTOP KWA BEI NAFUU KABISA. 3. HUDUMA ZA SIMU KWA BEI NAFUU KABISA. 4. NA HUDUMA NYINGINE KWAAJILI YA MSAADA KWAKO MDAU WANGU ILI KUFANYA MAMBO YAWE RAHISI. β οΈβTAFADHALI USIPOST KITU NJE NA HIVYO AU USIPOST BIASHARA YAKO YA AINA YOYOTE HAPA.ββ οΈ `PIA HAKIKISHA UNAPATA HUDUMA KUTOKA KWA ADMIN NA NAMBA ZA ADMIN AU MMILIKI WA GROUP NI TATU TU` [contact hidden]. NB: HUU NI UJUMBE WA ANGALIZO TU ILA SIO KATAZO, HIVYO UKIONA UMERIDHIKA NA HUDUMA KUTOKA KWA MTU MWINGINE NI SAWA ILA YATAKAYOKUKUTA SI DHAMANA YANGU. KARIBU SANA KWA HUDUMA BORA NA ZENYE UHAKIKA HAPA MR NO TIME DATA
Karibu katika group la JOPO LA WAPISHI WA MUZIKI **Jopo la Wapishi wa Muziki** ni kundi la wataalam wenye ujuzi na uzoefu wa kina katika masuala ya muziki, wakiwemo wapiga ala, watunzi, na walimu kutoka nchi mbalimbali kama Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Kongo nk. Lengo kuu ni kuwakutanisha wataalam hawa pamoja na wale wanaojifunza ili waweze kubadilishana uzoefu na kujifunza zaidi kupitia malengo mbalimbali. ### **Majukumu Makuu ya Jopo** 1. **Uchambuzi na Tathmini:** Kazi kuu ya jopo hili ni kuchambua na kutathmini kazi za muziki, hasa katika mashindano au wakati mtu anapohitaji maoni. Wataalam watapitia vigezo muhimu kama ubora wa sauti, utunzi, utendaji wa mwimbaji, na uhalisia wa ujumbe. 2. **Utoaji wa Ushauri:** Jopo litatoa ushauri kwa waimbaji na watunzi wa nyimbo kuhusu jinsi ya kuboresha kazi zao. Ushauri huu unaweza kujumuisha masuala ya kiufundi, kama mpangilio wa sauti, au mambo ya ubunifu, kama jinsi ya kuandika maneno yenye nguvu zaidi. 3. **Kuratibu Matukio:** Jopo pia linaweza kuwa na jukumu la kuratibu matukio ya muziki, ikiwemo tamasha au warsha za muziki, ambapo walimu wengi wameshashiriki. 4. **Utafiti na Maendeleo:** Jopo hili litahusika katika kufanya utafiti kuhusu muziki na historia yake. Hii itasaidia katika maendeleo ya tasnia ya muziki na kuhakikisha kwamba muziki unaendelea kukua na kuboreshwa. Kwa kumalizia, jopo hili lina jukumu kubwa la kuhakikisha ubora, ukuaji, na ustawi wa tasnia ya muziki, hususan Muziki Mtakatifu. **Kumbuka:** Kama kuna link, Pdf na Mid zake au video itatumwa ndani ya kundi, iwe kwa ajili ya kujifunza na mfano kuhusu muziki mtakatifu kwa lengo la kubadilishana uzoefu tofauti na hapo basi Nyimbo, (Link, Pdf, Mid, Video) na matangazo vitumwe Jumapili pekee au kama mtu atakuwa ameomba atumiwe.
*_ππΌοΈKARIBU UJIFUNZEππ JINSI GANI YA KUNUFAIKA UKIWA NA SIMUπ±π± YAKO APO APO ULIPOπ«΅π«΅ KUPITIA MITANDAOπ€³π€³ YA KIJAMII KWA KUTUMIA CAMPUNY YA 26PESA _* *πΈπ³26PESA* _hii ni platform ya online businessπ± inajiusisha na biashara za mtandaoni utangazaji wa matangazo mbali mbali ya macampuny mbali mbali ya ndani na Nje ya Nchiπ’_ *π³πΈ26PESA* _campuny hii itakuwezesha kutengeza pesa kuanzia 50,000 mpaka 100,000 kwa siku ukiwa apo apo ulipo unalipwa unapofanya kazi ya kupost matangazo ya campuny na utalipwa kulingana na IDADI ya watu watakao ona Tangazo kwa kila Tangazo utakalo post yaani kila views 1000_ *π³πΈ26PESA* _campuny hii itakupa OFA mbali mbali za kukufanya upende kufanya nayo kazi mfano wa OFA utaangalia video na Kulipwa 2000 mpaka 3000 kwa kila video kwa mitandao yote kama π TikTokπ Facebookπ YouTubeπ Instagramπ na utaekewa video 15 kila siku kwenye kila mtandaoπΉ_ utapewa GB5 Kila siku ambazo zitakufanya uipende Kazi yako nauifanye Bila wasiwasiπ€π€ *π³πΈ26PESA* _yote ayo utayafanya ndani ya application ya 26PESA ambayo inapatikan play store Gusa link hii kudanlod application ππ_ ππππ ππ‘ππ€πππ€π ππππ ππππ¦π π‘πππ. *ili kuanza kazi unaitajika kuwa na pesa 14000TZS πΉπΏ/=24500FCπ¨π©kama kianzio cha kuwezesha utengenezaji wa account yako ifunguke ianze kupokea ela na iwekewe ulinzi wa kiserikali kuepuka matapeli wa Kimtamdaoβͺ* *πLINK YA KUJISAJILI 26PESA PLARTFOM NI HII APAπ* *GUSA LINK hiyo kujisajilππ* https://26pesa.store/page/reg.php?reg=Deborah07 βοΈ Weka imel yako βοΈ Weka namba ya simu βοΈWeka Majina kamili ya hiyo namba ya simu βοΈWeka username, Mfano *ALIMA23* hakikisha unabananisha βοΈWeka Paswerd inaanzia na namba nne..... Mfano, 2020 βοΈ Rudia tena Paswerd Kam ulivo Weka mwanzo bila kukosea βοΈ Chagua inchi yako ππ Gusa neno *SIGN UP* *KISHA NITUMIE UNSERNAME YAKO ILI NIKUANGALIE KAM UPO KWENY KAMPUN KABLA HUJA LIPIA*