Search the WhatsAd Community Intelligence index of WhatsApp groups to find the best ones.
1 result in the WhatsAd group index
ASSALAMU ALAYEKUM WARAHAMA TULLAH WABARAKATUH *π CHANGIA SADAKA YAKO KWA AJILI YA KUENDELEZA KUBORESHA MASJIDI YA CHOLOLO π, KATA YA CHANGAA, WILAYA YA KONDOA, MKOA WA DODOMA, NCHI TANZANIA ππΌππΌππΌππΌππΌππΌππΌππΌ *WEKA MCHANGO WAKO KUPITIA NAMBA YETU YA KUPOKEA SWADAQA* *Tunahitaji tupate Swadaqa zenu kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa nyumba hii ya Allah π baada ya kutimiza Hatua ya kuekeza Bati, Inshaa Allah* NAMBA YA KUTUMA PESA *[contact hidden]* ~JINA ABIDILAH SENGA ~KATIBU WA MSIKITI [link hidden β subscribe to view] TOA SADAKA YAKO KWA AJILI YA MAMBO YA DUNIA YAKO NA AKHERA YAKO ALLAH ATUJAALIE KHERI ZAIDI π€² *BARAKALLAHU-FEIKMU*
Verified invite link, member details and advertising options on WhatsAd.
Group hili ni Kwa ajili ya uchangiaji wa ujenzi wa Markaz Imaam Maalik - Mbwanga Mipango DODOMA. Taarifa zote za maendeleo ya uchangiaji, taarifa ya Michango , matumizi na hatua za ujenzi wa kituo zitakuwa zikipatikana humu mara kwa mara wakat wote wa kheir hii inshaallah. Kwa maelezo zaidi wasiliana na uongozi; 1. Ust. Abu Raslaan Kilongozi Mussa Chibwiko - [contact hidden]. Ust Abu Mahmoud Zuberi Chuku - [contact hidden]
*MARKAZ IPO KONGOWE YA MBAGALA PANDA GARI ZA TOANGOMA AU KISEMVULE SHUKA KONGOWE KISHA ULIZIA BODA ZA VICHEJI KISHA MWAMBIE AKUSHUSHE MSOUTH MSIKITI ULIOPO KARIBU NA OFISI YA SERIKALI ATAKULETA MPAKA MLANGONI*
Karibu sana wadau wote! Group hili limeanzishwa kwa ajili ya kupeana uzoefu kuhusu ujenzi wa nyumba zako na za wateja wako. Hapa utapata: β’ Mafundi waaminifu wa kazi zote β’ Bidhaa bora za ujenzi β’ Ushauri na majibu ya maswali yote yahusuyo ujenzi β’ Fursa za viwanja, mashamba, nyumba zinazouzwa na za kupangisha β’ Ramani mbalimbali za nyumba na ushauri wake Unaruhusiwa: β’ Kushirikiana na kushauriana mawazo kuhusu ujenzi wa nyumba β’ Kujadili mada zinazohusu ujenzi β’ Kutangaza biashara inayohusiana na sekta ya ujenzi (Ijumaa na Jumapili pekee) β’ Kutangaza viwanja vinavyouzwa, mashamba yanayouzwa, nyumba zinazouzwa, nyumba za kupangisha na ramani Hairuhusiwi: β’ Lugha za matusi au kejeli β’ Picha au maudhui yasiyo na maadili β’ Mijadala isiyohusiana na ujenzi β’ Kutuma matangazo mara kwa mara bila mpangilio (spam) β’ Kutuma namba binafsi za watu bila idhini Ukikiuka masharti haya, utaondolewa kwenye group bila taarifa na hautarejeshwa tena. Karibu tujenge pamoja! Nyumba bora hujengwa na fundi bora
βπ¨ KARIBU KELVIN HK BUILDERS MASTER ποΈ βSehemu rasmi ya huduma za ujenzi, ushauri, na ubunifu wa kisasa kwa gharama nafuu kabisa! βPata huduma zifuatazo kupitia kikundi hiki: βRamani: BURE π βSite Plan: BURE π βVipimo na Mchanganuo wa Ramani: Tsh 20,000 tu π βMarekebisho ya Ramani na Site Plan: Tsh 20,000 tu βοΈ βSite Visit (Kutembelea eneo la ujenzi): Tsh 30,000 tu π βWasiliana nasi leo tukamilishe ndoto ya nyumba yako kwa ustadi na ubora wa hali ya juu! π€ [contact hidden]
Ψ¨Ψ³Ω Ψ§ΩΩΩ Ψ§ΩΨ±ΨΩ Ω Ψ§ΩΨ±ΨΩΩ *ASSALAAM ALAYKUM WARAHMATULLAH WABARAKAATUH* *CHANGIA UJENZI WA MSIKITI NDANI YA KIJIJI CHA MULELA WILAYANI MULEBA MKOANI KAGERA* *MALENGO YA HILI GROUP* *Ni Uchangiaji kwa ajili ya kujenga msikiti(markaz)ya kisalafi katika kijiji cha Mulela,wilaya ya Muleba mkoa wa Kagera* Ili ni baada y'a waislamu masalaf kutapeliwa n'a kunyang'anywa msikiti wao na kuondolewa katika msikiti huo na mahizibi wa kianswari. [link hidden β subscribe to view]
Kila mmoja ashiriki kujenga ofisi hii Changia kupitia ac.[contact hidden] Benk ya nmb. CHADEMA_MAKAMBAKO [contact hidden] SITE USISHINDE, SITE USIKASIRIKE.