Search the WhatsAd Community Intelligence index of WhatsApp groups to find the best ones.
1 result in the WhatsAd group index
Tt
Verified invite link, member details and advertising options on WhatsAd.
*_ππΌοΈKARIBU UJIFUNZEππ JINSI GANI YA KUNUFAIKA UKIWA NA SIMUπ±π± YAKO APO APO ULIPOπ«΅π«΅ KUPITIA MITANDAOπ€³π€³ YA KIJAMII KWA KUTUMIA CAMPUNY YA 26PESA _* *πΈπ³26PESA* _hii ni platform ya online businessπ± inajiusisha na biashara za mtandaoni utangazaji wa matangazo mbali mbali ya macampuny mbali mbali ya ndani na Nje ya Nchiπ’_ *π³πΈ26PESA* _campuny hii itakuwezesha kutengeza pesa kuanzia 50,000 mpaka 100,000 kwa siku ukiwa apo apo ulipo unalipwa unapofanya kazi ya kupost matangazo ya campuny na utalipwa kulingana na IDADI ya watu watakao ona Tangazo kwa kila Tangazo utakalo post yaani kila views 1000_ *π³πΈ26PESA* _campuny hii itakupa OFA mbali mbali za kukufanya upende kufanya nayo kazi mfano wa OFA utaangalia video na Kulipwa 2000 mpaka 3000 kwa kila video kwa mitandao yote kama π TikTokπ Facebookπ YouTubeπ Instagramπ na utaekewa video 15 kila siku kwenye kila mtandaoπΉ_ utapewa GB5 Kila siku ambazo zitakufanya uipende Kazi yako nauifanye Bila wasiwasiπ€π€ *π³πΈ26PESA* _yote ayo utayafanya ndani ya application ya 26PESA ambayo inapatikan play store Gusa link hii kudanlod application ππ_ ππππ ππ‘ππ€πππ€π ππππ ππππ¦π π‘πππ. *ili kuanza kazi unaitajika kuwa na pesa 14000TZS πΉπΏ/=24500FCπ¨π©kama kianzio cha kuwezesha utengenezaji wa account yako ifunguke ianze kupokea ela na iwekewe ulinzi wa kiserikali kuepuka matapeli wa Kimtamdaoβͺ* *πLINK YA KUJISAJILI 26PESA PLARTFOM NI HII APAπ* *GUSA LINK hiyo kujisajilππ* https://26pesa.store/page/reg.php?reg=Deborah07 βοΈ Weka imel yako βοΈ Weka namba ya simu βοΈWeka Majina kamili ya hiyo namba ya simu βοΈWeka username, Mfano *ALIMA23* hakikisha unabananisha βοΈWeka Paswerd inaanzia na namba nne..... Mfano, 2020 βοΈ Rudia tena Paswerd Kam ulivo Weka mwanzo bila kukosea βοΈ Chagua inchi yako ππ Gusa neno *SIGN UP* *KISHA NITUMIE UNSERNAME YAKO ILI NIKUANGALIE KAM UPO KWENY KAMPUN KABLA HUJA LIPIA*
NIPENDE KUWAALIKA NDANI YA TAASISI YA AFYA KUPATA ELIMU YA AFYA KWA JINSIA ZOT. ELIMIKA, OKOA MAISHA, PENDA KUPIMA AFYA YAKO.
0748287628 *ππΈβπβπ βπΈ ππΈπβπΈβππ ππΈ πΎβππβ ππΌππ ππΈ ππππ»πππ½πΌ πππβπ* A:WILDLIFE STORY NI GROUP LINALOJADILI HABARI ZINAZOHUSU WANAYAMA PORI NA MAZINGIRA KWA UJUMLA. B: PIA GROUP LETU LINAHUSIKA NA HABARI MPASUKO (BREAKING NEWS) NA MATUKIO MBALIMBALI YA SAMPULI HIYO NDANI NA NJE YA NCHI. *KANUNI/MASHARTI.* *1. (a)Ni Marufuku kutuma Matangazo ya biashara, bidhaa, au huduma binafsi isipokuwa yatolewe ruhusa na wasimamizi wa kundi.* *( b)ni marufuku kutuma. link ya mtandao wowote ule kwenye group hili.* *2.Ni marufuku kutuma Picha na Video za utupu(Γ).TumaPicha na video zinazohusiana na wanyama na mazingira tu ndizo zinazokubalika.* *3. Hairuhusiwi kutuma na kueneza habari za uongo, uvumi, au taarifa zisizo na vyanzo. Hakikisha habari zote unazotuma zimethibitishwa.* *4. Ni Wajibu kwa kila member (mwanagroup)kuheshimu mwenzake na usitume matusi, lugha za matusi, au ujumbe wenye chuki au ubaguzi kwa mwenzako.* *5. Huruhusiwi kuchukua au kusambaza taarifa binafsi za washiriki (wanagroup)bila ruhusa.* *6. Mawasiliano ya Faragha ndani ya kundi hayaruhusiwi. Masuala binafsi na mawasiliano yasiyohusu kundi yafanyike nje ya kundi.* *7. Kuheshimu Wasimamizi (MA ADMIN): Fuata maelekezo ya ma admin na heshimu uamuzi wao kwa maslahi ya kundi.* *8. Ni ruksa kila mwanagroup kutoa Mchango ndani ya group: Lengo kuu liwe kutoa na kueneza elimu na kujenga jamii yenye uelewa kuhusu wanyama na mazingira.* *9. Hairuhusiwi kivyovyote vile kutuma picha au video zenye zimeundwa kwa kutumia akili nemba (AI), sababu kuu ni kuhimiza tasnia ya WILDLIFE na kundi la WILDLIFE STORY lisalie katika uhalisia wake. Kosa la kukiuka kanuni hii ni kuondolewa mara moja pasipo mjadala wowote.* *NB; Kanuni hizi zinalenga kudumisha utaratibu na heshima katika kundi.ukienda kinyume na masharti hayo utaondolewa kwenye group mara moja.* PIA WANA GROUP TUNAOMBA MUONESHE USHIRIKIANO WA KUCHANGIE MAADA USIPITE TU, AU USIWE WEWE NI MTU WA KUSOMA TU NA KUPITA
β οΈTANGAZO MAALUMU LENYE TAHADHARI NDANI YAKE β οΈ. GRUPU HILI LINAHUSIKA NA HUDUMA YA 1. VIFURUSHI VYA BEI NAFUU KWA MITANDAO YOTE TANZANIA. 2. HUDUMA ZA LAPTOP KWA BEI NAFUU KABISA. 3. HUDUMA ZA SIMU KWA BEI NAFUU KABISA. 4. NA HUDUMA NYINGINE KWAAJILI YA MSAADA KWAKO MDAU WANGU ILI KUFANYA MAMBO YAWE RAHISI. β οΈβTAFADHALI USIPOST KITU NJE NA HIVYO AU USIPOST BIASHARA YAKO YA AINA YOYOTE HAPA.ββ οΈ `PIA HAKIKISHA UNAPATA HUDUMA KUTOKA KWA ADMIN NA NAMBA ZA ADMIN AU MMILIKI WA GROUP NI TATU TU` [contact hidden]. NB: HUU NI UJUMBE WA ANGALIZO TU ILA SIO KATAZO, HIVYO UKIONA UMERIDHIKA NA HUDUMA KUTOKA KWA MTU MWINGINE NI SAWA ILA YATAKAYOKUKUTA SI DHAMANA YANGU. KARIBU SANA KWA HUDUMA BORA NA ZENYE UHAKIKA HAPA MR NO TIME DATA
β οΈTANGAZO MAALUMU LENYE TAHADHARI NDANI YAKE β οΈ. GRUPU HILI LINAHUSIKA NA HUDUMA YA 1. VIFURUSHI VYA BEI NAFUU KWA MITANDAO YOTE TANZANIA. 2. HUDUMA ZA LAPTOP KWA BEI NAFUU KABISA. 3. HUDUMA ZA SIMU KWA BEI NAFUU KABISA. 4. NA HUDUMA NYINGINE KWAAJILI YA MSAADA KWAKO MDAU WANGU ILI KUFANYA MAMBO YAWE RAHISI. β οΈβTAFADHALI USIPOST KITU NJE NA HIVYO AU USIPOST BIASHARA YAKO YA AINA YOYOTE HAPA.ββ οΈ `PIA HAKIKISHA UNAPATA HUDUMA KUTOKA KWA ADMIN NA NAMBA ZA ADMIN AU MMILIKI WA GROUP NI TATU TU` [contact hidden]. NB: HUU NI UJUMBE WA ANGALIZO TU ILA SIO KATAZO, HIVYO UKIONA UMERIDHIKA NA HUDUMA KUTOKA KWA MTU MWINGINE NI SAWA ILA YATAKAYOKUKUTA SI DHAMANA YANGU. KARIBU SANA KWA HUDUMA BORA NA ZENYE UHAKIKA HAPA MR NO TIME DATA
Karibu katika group la JOPO LA WAPISHI WA MUZIKI **Jopo la Wapishi wa Muziki** ni kundi la wataalam wenye ujuzi na uzoefu wa kina katika masuala ya muziki, wakiwemo wapiga ala, watunzi, na walimu kutoka nchi mbalimbali kama Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Kongo nk. Lengo kuu ni kuwakutanisha wataalam hawa pamoja na wale wanaojifunza ili waweze kubadilishana uzoefu na kujifunza zaidi kupitia malengo mbalimbali. ### **Majukumu Makuu ya Jopo** 1. **Uchambuzi na Tathmini:** Kazi kuu ya jopo hili ni kuchambua na kutathmini kazi za muziki, hasa katika mashindano au wakati mtu anapohitaji maoni. Wataalam watapitia vigezo muhimu kama ubora wa sauti, utunzi, utendaji wa mwimbaji, na uhalisia wa ujumbe. 2. **Utoaji wa Ushauri:** Jopo litatoa ushauri kwa waimbaji na watunzi wa nyimbo kuhusu jinsi ya kuboresha kazi zao. Ushauri huu unaweza kujumuisha masuala ya kiufundi, kama mpangilio wa sauti, au mambo ya ubunifu, kama jinsi ya kuandika maneno yenye nguvu zaidi. 3. **Kuratibu Matukio:** Jopo pia linaweza kuwa na jukumu la kuratibu matukio ya muziki, ikiwemo tamasha au warsha za muziki, ambapo walimu wengi wameshashiriki. 4. **Utafiti na Maendeleo:** Jopo hili litahusika katika kufanya utafiti kuhusu muziki na historia yake. Hii itasaidia katika maendeleo ya tasnia ya muziki na kuhakikisha kwamba muziki unaendelea kukua na kuboreshwa. Kwa kumalizia, jopo hili lina jukumu kubwa la kuhakikisha ubora, ukuaji, na ustawi wa tasnia ya muziki, hususan Muziki Mtakatifu. **Kumbuka:** Kama kuna link, Pdf na Mid zake au video itatumwa ndani ya kundi, iwe kwa ajili ya kujifunza na mfano kuhusu muziki mtakatifu kwa lengo la kubadilishana uzoefu tofauti na hapo basi Nyimbo, (Link, Pdf, Mid, Video) na matangazo vitumwe Jumapili pekee au kama mtu atakuwa ameomba atumiwe.