[link hidden β subscribe to view]
Verified invite link, member details and advertising options on WhatsAd.
Malo oyenera kwa iwo ali ndi njala ya Mulungu
Tumsifu yesu kristo.. Ndugu wapendwa group hili nikwaajili ya MUZIKI MUTAKATIFU, SALA PAMOJA NAKUSHIRIKISHANA MAWAZO MBALIMBALI YA KIKATOLIKI TU. mambo mengine kama michezo, story zisizohusiana na maelekez ya group haziruhusiwi. Pia tunapotuma ujumbe tujitaidi kutuma ujumbe uliokamilika tuachane na yale maneno ya mkato mfano. Xmx, p,pa1 n.k. nawaomba tujitahidi kuzingatia maelekezo wakuu tofauti nahapo utaondolewa muda huohuo asante na karibuni sana wakuuππ.
MWISHO UMEKARIBIYA UNABII UNATIMIYA TUBU da Matayo 24.1
Mwari wekudenga makatendeka hamushanduki munoramaba muri ishe zvinhu zviome zvirwadze munoramba muriimi wakaropa fadzwa wanogara kuzita ramambo Jesu wachawana nhaka isinga peri.......KUNDIONA NDAKAI INYASHA DZAMWARIπ€π
π SHERIA ZA GROUP LETU NIπ 1.Heshima ni lazima Kila mwanachama ataheshimu wengine bila matusi, kejeli au lugha chafu. 2.Lengo la group liheshimiwe Group ni kwa ajili ya kujifunza Neno la Mungu, maombi na kujengana kiroho. Mambo yasiyoendana na kusudi hili hayaruhusiwi. 3.Epuka maudhui yasiyofaa Hairuhusiwi kutuma picha, video au ujumbe usio na maadili au usio wa kiroho. 4.Hakuna matangazo bila ruhusa Biashara, matangazo au promosheni yoyote itaruhusiwa tu kwa idhini ya viongozi wa group. 5.Hakuna siasa wala mijadala ya kugombana Mijadala ya kisiasa au inayoweza kuleta mgawanyiko hairuhusiwi. 6.Weka nidhamu ya kutuma ujumbe Epuka kutuma ujumbe mwingi usio na maana (spam), au ujumbe nje ya mada. 7.Heshimu muda wa group Kama kuna ratiba ya maombi au mafundisho, izingatiwe. 8.Usiri wa group ulindwe Yaliyojadiliwa ndani ya group yabaki ndani ya group isipokuwa kwa ruhusa. 9.Kukosoa kwa upendo Marekebisho yafanyike kwa upendo na heshima, si kwa hasira. 10.Adhabu kwa uvunjaji wa sheria *.Onyo la kwanza *.Onyo la pili *.Kuondolewa kwenye group
NDI ODALA AMENE AKHULUPIRIRA YEHOVA AMENE CHIKHULUPIRIRO CHAWO NDI YEHOVA... YEREMIYA 17:5-7