Busca en el índice de WhatsAd de grupos de WhatsApp para encontrar los mejores.
1 resultado en el índice de grupos de WhatsAd
Enlace de invitación verificado, detalles de miembros y opciones de publicidad en WhatsAd.
SHALOM NA KARIBU[contact hidden] KWAWAGENYI WETU NDANI YAKUNDI LETU NENO LA UZIMA KUNIHILI LINAUSIANA NA NENO LA MUNGU NAMAFUNDISHO NUHUU NDIO UTARATIBU WETU 1 HAUPASHWE KUTUMA MAUBIRI BILA KUONA VYONGOZI WAKUPANGE 2) MAFUNDISHO KINYUME NA BIBLIA AMA NENO LA MUNGU HALIRUHUSIWE 3) APANAKUTUMA NGANI LINK YOYOTE VIDIO CHAFU , POLITIQUES HAIRUSIWE NDANI 4) TONATAKIWA KUTOWA MUCHANGO WETU WA KUSAIDIYA NASISI KWAMAGONJWA ,KWASHIDA NAVILIO TOWAMCHANGO WAKO WAMWEZI KWANZIA 4000FC NAKWENDELEA KULINGANA NAPATOYAKO TUESHIMIYANE 5)SIKU YAMASWALI NAMAJIBU INAKUOMBA ULIZA SWALIMBILI SUBURI MAJIBU NAKAMA HALIJA JIBIWA USITIYE NYINGINE NB : NDANIYA KUNDI HILI MNAWATU WADINI AMA DHEHEBU MBALIMBALI PASIWE MATUSI NAMBAYETU YAKUTOWEYA MUCHANGO WAKONI [contact hidden]wapendwa.hii ni taratibu ya groupe letu umu ni neno la mungu thu na maswali ku husu neno thu. 1 umu ndani si nafasi ya matangazo ama picha mbali mbali ama vidéo yoyote. 2 kila mutu ndana anapashwa kuongeya si ku kaa kimya. 3heshima kwa kila mutu ni ya maana sana.walimu watapangwa kila wiki. 4 vidéo yoyote itvutwa na picha ,mwenye kiti ata panga kila kitu. salamu kwenu🙅
✍️Sababu ya Yesu kuja Duniani. Yohana3:16_18 ✍️Agizo la mwisho na kuu katika Biblia Kabla ya Yesu kuondoka duniani Mathayo 28:19 ✍️MWONGOZO WA GROUP👇 1)Karibu katika Group kujifunza Neno la Mungu,kusifu na kuabudu, Mahusiano kabla ya ndoa, mafundisho ya ndoa, n.k maswali na majibu. mijadara mbali mbali ya kujenga kuhusu ufalme wa Mungu🙏 2) Kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya Neno la Mungu anaweza kufundisha au kujibu maswali humu wote ni sawa hakuna alie Bora zaidi ya mwingine tujifunze pamoja 3Humu tunahitaji kujifunza Neno la Mungu la kweli hatuhitaji mafundisho potofu ukileta mada au SOMO ambatanisha na maandiko tujifunze pamoja✍️ 4) Humu tunahitaji Mada za kutujenga na maswali ya kutufunua kuelewa kuhusu ufalme wa Mungu ✍️Isaya 41 : 21 Haya, leteni maneno yenu, asema Bwana; toeni hoja zenu zenye nguvu, asema mfalme wa Yakobo. 📅❤ _*RATIBA YA WIKI - NENO LA UZIMA* 📝 *VITU VYA KUZINGATIA KATIKA RATIBA HII YA MADHABAHU YA NENO LA UZIMA* : ✍️Kila Swali Unalohitaji kuuliza Katika RATIBA ya siku Husika Au Ukijibu Swali ✍️Maswali na Majibu Yote Yawe kwa Muongozo Wa Biblia Ukiuliza au kujibu Swali Ambatanisha Na Andiko,📖 🗓️ *JUMAPILI* 🌎 Mafundisho ya Neno la Mungu. TUMA KILE ULICHOJIFUNZA KANISANI 📖 Andiko: Waebrania 4:12 🗓️ *JUMATATU* *ULAFIKI, UCHUMBA MAHUSIANO KABLA YA NDOA, JINSI GANI KIJANA ASIMAME KIUCHUMI NA KIROHO KATIKA KUMTUMIKIA MUNGU* 📖 Andiko: 1 Wakorintho 6:18 🗓️ *JUMANNE* 🌎 Mafundisho ya Neno la Mungu (tena)📖 Andiko: Warumi 10:17 🗓️ *JUMATANO* 🌎 Maswali na Majibu KATIKA Biblia📖 🗓️ *_ALHAMISI_* 🌎 Ndoa na Majukumu (Maswali & Changamoto) 📖 Andiko: Waefeso 5:22-25 🗓️ *IJUMAA* 🌎Kuukulia Wokovu (Shuhuda & Maswali ya Kiroho) 📖 Andiko: 2 Wakorintho 5:17 🗓️ *JUMAMOSI* 🌎 Afya na Uchumi (Maswali & Mafunzo) 📖 Andiko: Mithali 21:5 🙏 *ASANTENI SANA TUSHILIKIANE KUUJENGA MWILI WA KRISTO (KANISA*) *1Wakorinto 12:1--15*