Busca en el índice de WhatsAd de grupos de WhatsApp para encontrar los mejores.
1 resultado en el índice de grupos de WhatsAd
Enlace de invitación verificado, detalles de miembros y opciones de publicidad en WhatsAd.
*MAMBO YANAYO TAKIWA KWENYE GROUP* 1.Upo free kutangaza biashara yoyote ya halali na yenye kueleweka kirahisi, mda wowote unaotaka 2.Kupeana michongo ya kazi,channel za kibiashara na mambo mengine ya kimafanikio 3.Kuchati ni free mda wote,kupiga story/soga za hapa na pale,kufurahi,kufahamiana,kupendana,kucheka ,Kutabasamu. 4.Kupeana ushauri wa kimaisha kiuchumi,kijamii 5.Hili ni chimbo la watakatifu,watu wenye uaminifu mkubwa na wenye malengo makubwa ya kibiashara na mafanikio *MAMBO YATOKAYO KUONDOA KWENYE GROUP* 1.Hutakiwi kutuma link ya aina yoyote 2.Kusababisha vurugu au chating za kutukanana,habari za siasa ya TZ hazi ruhusiwi. 3.Hutakiwi kuludia tangazo Moja zaidi ya mara2 kwa mda mmoja 4.Hutakiwi kutuma ,video za ngono,picha,link, au voice notes 5.Hutakiwi kutangaza biashara yyote ya KITAPELI(*humu utapeli ni mwiko*)
*KARIBU KWENYE GROUP LETU LA MSHAHARA VIWANJA DODOMA* 👇Hapa natoa huduma zifuatazo; ✍️NAUZA VIWANJA NA MASHAMBA DODOMA ✍️NANUNUA NA KUUZA FURNITURE ✍️NAPANGISHA VYUMBA &FREM DODOMA ✍️NAFUATILIA HATI MILIKI ✍️NATOA ELIMU YA UWEKEZAJI KWENYE ARTHI NA HATI FUNGATI 🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝