Busca en el Γndice de WhatsAd de grupos de WhatsApp para encontrar los mejores.
1 resultado en el Γndice de grupos de WhatsAd
π e-Kijumbe ni nini? e-Kijumbe ni jukwaa la kidigitali linalowaunganisha Watanzania kushirikiana kifedha kupitia vikundi vya vikoba vilivyo salama, wazi na vya kisasa. Kwa kutumia simu yako tu, unaweza:- 1. Kujiunga na vikoba vya waaminifu 2. Kupokea mchango wako kwa wakati 3. Kukopa kwa uaminifu bila dhamana β Faida za Kujiunga na e-Kijumbe 1. π± Vikoba Kiganjani: Chagua kikundi, changia na pokea pesa kwa njia rahisi. 2. π Usalama na Uwazi: Taarifa zako zinalindwa, kila hatua inaoneshwa wazi. 3. π Mzunguko wa Haki: Michango inafuata utaratibu uliowekwa. 4. π§ Mfumo wa Trust Score: Unavyowajibika, ndivyo unavyoaminika zaidi. 5. πΈ Mikopo ya Mchango: Ukiwa huna pesa ya kuchangia, e-Kijumbe itakukopesha kuchangia, kisha italipwa kutoka kwenye mchango utakaopokea (riba ya 30%). 6. π³ Main Loan (Mkopo Mkubwa): Unastahiki mkopo mkubwa unaolingana na kikoba chako, unaorejeshwa ndani ya siku 30 β bila presha, kwa uaminifu. 7. π€ Referral Bonus: Mwalike mtu mwingine ajiunge, trust score yako hupanda na nafasi yako hukua. π° Ada ya Uanachama Kabla ya kujiunga na mfumo wa e-Kijumbe, mwanachama analipa ada ya uanachama ya TZS 1,000. Ada hii ni ya mara moja tu na inahakikisha mfumo unakua wa waaminifu pekee. π Masharti ya Kukopesheka 1. Uchangiaji mfululizo bila kuruka 2. Historia nzuri ya uaminifu 3. Kukamilisha ada ya uanachama 4. Hakuna akaunti zaidi ya moja (isipokuwa kwa kibali maalum) π² Jinsi ya Kujiunga 1. Tembelea: www.ekijumbe.xyz 2. Lipa ada ya uanachama (TZS 1,000) 3. Jisajili kwa namba ya simu 4. Jiunge na kikundi 5. Anza kuchangia na kufurahia huduma β karibuni sana ekijumbe.
Enlace de invitaciΓ³n verificado, detalles de miembros y opciones de publicidad en WhatsAd.
Jina la Kundi: Wazalendo Halisi Sheria za Kundi 1. Heshima Kwanza β Hakuna matusi wala kejeli kwa mwanakundi yeyote. 2. Lugha ya Staha β Tumie Kiswahili fasaha na maneno ya kujenga. 3. Ujumbe Uwe wa Msingi β Epuka kusambaza habari zisizothibitishwa au zisizo na uhusiano na malengo ya kundi. 4. Maoni Yote Yanathaminiwa β Tofauti za mawazo ni ruksa, mradi tu yasielekee kwenye matusi au ugomvi. 5. Epuka Siasa Kali β Tujikite katika mazungumzo yenye tija na siyo yenye kuibua migawanyiko. 6. Usambazaji wa Taarifa Muhimu β Tuwe tunatumia kundi hili kupeana taarifa muhimu na maoni ya kujenga kuhusu kundi letu na shughuli zake. 7. Kusambaza Ratiba na Mipango β Kundi hili litakuwa sehemu rasmi ya kupanga, kushirikiana, na kujulishana kuhusu shughuli zetu. 8. Wasiliana kwa Hekima β Kila mmoja ana haki ya kuzungumza, tusikilizane.
β οΈTANGAZO MAALUMU LENYE TAHADHARI NDANI YAKE β οΈ. GRUPU HILI LINAHUSIKA NA HUDUMA YA 1. VIFURUSHI VYA BEI NAFUU KWA MITANDAO YOTE TANZANIA. 2. HUDUMA ZA LAPTOP KWA BEI NAFUU KABISA. 3. HUDUMA ZA SIMU KWA BEI NAFUU KABISA. 4. NA HUDUMA NYINGINE KWAAJILI YA MSAADA KWAKO MDAU WANGU ILI KUFANYA MAMBO YAWE RAHISI. β οΈβTAFADHALI USIPOST KITU NJE NA HIVYO AU USIPOST BIASHARA YAKO YA AINA YOYOTE HAPA.ββ οΈ `PIA HAKIKISHA UNAPATA HUDUMA KUTOKA KWA ADMIN NA NAMBA ZA ADMIN AU MMILIKI WA GROUP NI TATU TU` [contact hidden]. NB: HUU NI UJUMBE WA ANGALIZO TU ILA SIO KATAZO, HIVYO UKIONA UMERIDHIKA NA HUDUMA KUTOKA KWA MTU MWINGINE NI SAWA ILA YATAKAYOKUKUTA SI DHAMANA YANGU. KARIBU SANA KWA HUDUMA BORA NA ZENYE UHAKIKA HAPA MR NO TIME DATA