Busca en el índice de WhatsAd de grupos de WhatsApp para encontrar los mejores.
1 resultado en el índice de grupos de WhatsAd
1.Kejeli, matusi na namna yoyote ya dharau na lugha chafu haziruhusiwi humu. 2.Matani na mizaha sio mahala pake. 3. Humu ni kwa ajili ya utukufu wa Mungu. 4. Yeyote anahaki ya kuwa mwanagroup ila kwa kuufuata utaratibu husika. 5. Sisi kama watu wa Mungu inatupasa tuamshane kiroho Kisha kuwaamsha na wengine(UTUME KWA JIRANI YANGU NA ULIMWENGU MZIMA) 6. USHIRIKΙΑΝΟ KATIKA UKWELI ΝΑ ΜAOMBI NDIO KITU CHA MUHIMU SANA. 7. MAMBO YA KISIASA NA AINA YOYOTE INAYOJIUSISHA NA VYAMA VYA SIASA HAZIRUHUSIWI. 8. WAKATI WA VOICE CHART ADMIN ANAYO HAKI YA KUINGILIA MAZUNGUMZO WAKATI WOWOTE ULE ANAPOONA KUWA MAMBO HAYAENDI SAWA ATA KAMA YEYE SIYO MWENYEKITI ILI KUJERESHA UTULIVU AU KUWEKA SAWA KILE AMBACHO HAKIPO SAWA. BWANA AWABARIKI MUJIUNGAPΟ ΝΑ GROUP HILI Lazima tuwe watu wa sala nyingi ikiwa tunataka kupiga hatua katika maisha ya kiungu. 5T 161,162
Enlace de invitación verificado, detalles de miembros y opciones de publicidad en WhatsAd.
Karibu sana😊, ni muhimu utambue haya👉🏽hailuhusiwi kutuma link za magroup mengine hili ni group kwa ajili ya walio mwamini kristo tu. Imba fundisha neno la Mungu tuma link, hailuhusiwi kutuma link zaidi ya mala 2 kwa siku, siku ya kutuma matangazo ni juma mosi na juma pili. Fuata sheria jisìkie huru😊. Hailuhusiwi kutuma mambo ya kisiasa
*Karibu tujiunge pamoja Ukalimani Uandishi, Kuhariri na Kutafsiri vitabu, Sauti, voice over za Makala na Maandiko ya Kiroho ya Imani yetu ya Kikristo yenye muktadha wa mafundisho na utamaduni wa wale wanaotarajia kurudi Kwa YESU HIVI KARIBUNI; yale yatakayotuimarisha kiroho na kutuandaa kwa ajili ya marejeo ya Yesu Kristo. YESU ANAKUJA JIANDAE KUMPOKEA* Maranatha!