Busca en el Γndice de WhatsAd de grupos de WhatsApp para encontrar los mejores.
1 resultado en el Γndice de grupos de WhatsAd
*SALA YA KUMWOMBA* *MT. YOSEFU MSAADA (SALA KUU KWA* *MTAKATIFU YOSEFU)* Ee Mt. Yosefu mwenye heri, tunakimbilia kwako katika masumbuko yetu, na kisha omba shime ya Mchumba wako Mtakatifu, tunaomba pia kwa matumaini usimamizi wako. Kwa ajili ya mapendo uliyompenda Bikira Mtakatifu Mzazi wa Mungu, na kwa ajili ya kumtunza Mtoto Yesu, twakuomba sana, utuangalie kwa wema sie tuliokuwa fungu lake Yesu Kristu, tukakombolewa kwa damu yake. Tusimamie katika masumbuko yetu kwa enzi na shime yako. Ee Mlinzi amini wa jamaa takatifu, uwakinge watoto wateule wa Yesu Kristu. Ee Baba uliyetupenda mno tuepushe na kilema chochote cha madanganyo na upotevu. Ee kinga yetu mwezaji, utusimamie huko juu mbinguni ulipo, tunaposhindana na wenye nguvu wakaao gizani. Kama vile siku za kale ukamwopoa Mtoto Yesu katika hatari ya kuuawa, na leo hivi likinge Kanisa Takatifu la Mungu katika mitego ya adui, na katika shida yote; mtunze daima kila mmoja wetu, tufwate mfano wako, ili tupate na msaada wako, kukaa na utakatifu maisha, kufa kifo chema, na kupata mbinguni makao ya raha milele. Amina. *LITANIA YA MT. YOSEFU* https://youtu.be/UxdMr9TlUkA?s πͺ *NYIMBO YA MT. YOSEFU MFANYAKAZIπΉπΉπΉ https://youtu.be/kEbaHfBqA-A?si=6d1z6hde7LnzvkRP* π₯ ππΏββοΈ *KAULI MBIU YETU...βTufanye KAZI za BWANA na zetu ZIBARIKIWEβ*ππ½ β *Tunamshukuru MWENYEZI MUNGU Kwa kutukutanisha kwenye group letu hili KWA HESHIMA YA MT. YOSEFU, lenye dhima ya SALA NA KAZI. (Uhalisia ni MAISHA YA KIROHO na KIMWILI)*. β *Sisi kama WAKRISTO tunao wajibu wa kukumbushana juu ya kusali, na tunao wajibu wa kuzifanya KAZI zetu ziwe sehemu ya SALA, na SHUGHULI zote tuzifanyazo ili zimpendeze Mwenyezi Mungu*. β *Kila mwanagroup anao wajibu sawa kama FAMILIA YA MUNGU NA JUMUIYA YA MT. YOSEFU*. *Kwa NAMNA YA PEKEE TUNAO MAPADRE, MAFRATERI NA WATAWA HUMU KUNDINI*. ππ½ππ½ππ½ *Asanteni Sana* *Wenu:-* *Ndugu;* *Β©Adam Stanslaus Nandi*.π€π€π€ β‘β‘β‘β‘β‘β‘β‘β‘β‘β‘ ππππππHAIRUHUSIWI:- Kutuma LINK YA GROUP LOLOTE, au MAUDHUI yasiyohusu KANISA KATOLIKI, na yaliyo KINYUME CHA MAADILI.ππππππ. Β© [email protected]
Enlace de invitaciΓ³n verificado, detalles de miembros y opciones de publicidad en WhatsAd.
Jina la Kundi: Wazalendo Halisi Sheria za Kundi 1. Heshima Kwanza β Hakuna matusi wala kejeli kwa mwanakundi yeyote. 2. Lugha ya Staha β Tumie Kiswahili fasaha na maneno ya kujenga. 3. Ujumbe Uwe wa Msingi β Epuka kusambaza habari zisizothibitishwa au zisizo na uhusiano na malengo ya kundi. 4. Maoni Yote Yanathaminiwa β Tofauti za mawazo ni ruksa, mradi tu yasielekee kwenye matusi au ugomvi. 5. Epuka Siasa Kali β Tujikite katika mazungumzo yenye tija na siyo yenye kuibua migawanyiko. 6. Usambazaji wa Taarifa Muhimu β Tuwe tunatumia kundi hili kupeana taarifa muhimu na maoni ya kujenga kuhusu kundi letu na shughuli zake. 7. Kusambaza Ratiba na Mipango β Kundi hili litakuwa sehemu rasmi ya kupanga, kushirikiana, na kujulishana kuhusu shughuli zetu. 8. Wasiliana kwa Hekima β Kila mmoja ana haki ya kuzungumza, tusikilizane.
Karibu katika group la JOPO LA WAPISHI WA MUZIKI **Jopo la Wapishi wa Muziki** ni kundi la wataalam wenye ujuzi na uzoefu wa kina katika masuala ya muziki, wakiwemo wapiga ala, watunzi, na walimu kutoka nchi mbalimbali kama Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Kongo nk. Lengo kuu ni kuwakutanisha wataalam hawa pamoja na wale wanaojifunza ili waweze kubadilishana uzoefu na kujifunza zaidi kupitia malengo mbalimbali. ### **Majukumu Makuu ya Jopo** 1. **Uchambuzi na Tathmini:** Kazi kuu ya jopo hili ni kuchambua na kutathmini kazi za muziki, hasa katika mashindano au wakati mtu anapohitaji maoni. Wataalam watapitia vigezo muhimu kama ubora wa sauti, utunzi, utendaji wa mwimbaji, na uhalisia wa ujumbe. 2. **Utoaji wa Ushauri:** Jopo litatoa ushauri kwa waimbaji na watunzi wa nyimbo kuhusu jinsi ya kuboresha kazi zao. Ushauri huu unaweza kujumuisha masuala ya kiufundi, kama mpangilio wa sauti, au mambo ya ubunifu, kama jinsi ya kuandika maneno yenye nguvu zaidi. 3. **Kuratibu Matukio:** Jopo pia linaweza kuwa na jukumu la kuratibu matukio ya muziki, ikiwemo tamasha au warsha za muziki, ambapo walimu wengi wameshashiriki. 4. **Utafiti na Maendeleo:** Jopo hili litahusika katika kufanya utafiti kuhusu muziki na historia yake. Hii itasaidia katika maendeleo ya tasnia ya muziki na kuhakikisha kwamba muziki unaendelea kukua na kuboreshwa. Kwa kumalizia, jopo hili lina jukumu kubwa la kuhakikisha ubora, ukuaji, na ustawi wa tasnia ya muziki, hususan Muziki Mtakatifu. **Kumbuka:** Kama kuna link, Pdf na Mid zake au video itatumwa ndani ya kundi, iwe kwa ajili ya kujifunza na mfano kuhusu muziki mtakatifu kwa lengo la kubadilishana uzoefu tofauti na hapo basi Nyimbo, (Link, Pdf, Mid, Video) na matangazo vitumwe Jumapili pekee au kama mtu atakuwa ameomba atumiwe.