Busca en el índice de WhatsAd de grupos de WhatsApp para encontrar los mejores.
1 resultado en el índice de grupos de WhatsAd
Enlace de invitación verificado, detalles de miembros y opciones de publicidad en WhatsAd.
MWISHO UMEKARIBIYA UNABII UNATIMIYA TUBU da Matayo 24.1
MATHIEU 28:18-20 🇺🇬🇧🇼🇨🇮🇨🇩📖🎤 🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤 Mathayo 28 18 Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani. 19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; 20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
Group hili linahusu kushirikiana pamoja kuandaa Ibada mbalimbali za makanisa mbalimbali ibada za kusifu na kuabudu kama matamasha mikesha makongamano semina na matukio mbalimbali ya kikristo na pia group hili tutapeana ushirikiano mwenzetu akipata shida tutamsaidia tunahitaji umoja na ushirikiano