Busca en el índice de WhatsAd de grupos de WhatsApp para encontrar los mejores.
1 resultado en el índice de grupos de WhatsAd
*بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيمِ* *ASSALAAMU ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH* *📚 RATIBA YA MASOMO - GROUP NUURUL ISLAAM* *🕒 MASAA YA MASOMO:* *1️⃣ Saa 7:00 Usiku (Kila Siku):* ➡ Mafunzo ya Herufi za Kiarabu ➡ Kitabu: *Twaarikh Taalimul Qur'an* *2️⃣ Saa 3:00 Usiku (Kila Siku):* ➡ Mafunzo ya Qur'an ➡ Kwa Wanaume Pekee --- *🗓️ RATIBA YA MASOMO YA QUR'AN KWA WIKI:* - *Jumamosi:* Qur'an - Saa 3:00 Usiku - *Jumapili:* Qur'an - Saa 3:00 Usiku - *Jumatatu:* Qur'an - Saa 3:00 Usiku - *Jumanne:* Qur'an - Saa 3:00 Usiku - *Jumatano:* Qur'an - Saa 3:00 Usiku - *Alhamisi:* Saa 3:00 Usiku – *Mjadala wa changamoto za masomo* - *Ijumaa:* *Siku ya da'awa na maswali --- *📌 SHERIA NA MISINGI YA GROUP NUURUL ISLAAM:* 1️⃣ Kila mwanagroup ni WAJIBU kushiriki darsa. 2️⃣ Hairuhusiwi kukaa siku 3 bila kuhudhuria bila kutoa taarifa. 3️⃣ Admin *Abalhasani* atawasiliana inbox na wale wasiohudhuria bila sababu. 4️⃣ Mwanagroup atabaki kwa ridhaa yake mwenyewe. 5️⃣ Wanaokaa kimya bila kushiriki wala kutoa ushauri wa dini, wataondolewa. 6️⃣ Hairuhusiwi kutuma link yoyote. 7️⃣ Matangazo ya biashara HAYARUHUSIWI. 8️⃣ Video zisizo za dini au mjadala usio wa dini HAZIRUHUSIWI. 9️⃣ Salamu zitoe kwa ukamilifu: *ASSALAAMU ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH* → Waitikie: *WA’ALAYKUM SALAAM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH* 🔟 Ni wajibu kwa kila mmoja kuheshimu uongozi na wanagroup wenzake. 1️⃣1️⃣ Hairuhusiwi kumfuata mtu inbox bila ridhaa yake. ➡ Mamemba wanaruhusiwa kuwafuata ma-admin kwa ushauri au maoni. --- *🤲 DUA YA KUMALIZA KIKAO:* *سُبْحَانَكَ اللَّهُمَّ وَبِحَمْدِكَ، أَشْهَدُ أَنْ لَا إِلَهَ إِلَّا أَنْتَ، أَسْتَغْفِرُكَ وَأَتُوبُ إِلَيْكَ
Enlace de invitación verificado, detalles de miembros y opciones de publicidad en WhatsAd.
Jina la Kundi: Wazalendo Halisi Sheria za Kundi 1. Heshima Kwanza – Hakuna matusi wala kejeli kwa mwanakundi yeyote. 2. Lugha ya Staha – Tumie Kiswahili fasaha na maneno ya kujenga. 3. Ujumbe Uwe wa Msingi – Epuka kusambaza habari zisizothibitishwa au zisizo na uhusiano na malengo ya kundi. 4. Maoni Yote Yanathaminiwa – Tofauti za mawazo ni ruksa, mradi tu yasielekee kwenye matusi au ugomvi. 5. Epuka Siasa Kali – Tujikite katika mazungumzo yenye tija na siyo yenye kuibua migawanyiko. 6. Usambazaji wa Taarifa Muhimu – Tuwe tunatumia kundi hili kupeana taarifa muhimu na maoni ya kujenga kuhusu kundi letu na shughuli zake. 7. Kusambaza Ratiba na Mipango – Kundi hili litakuwa sehemu rasmi ya kupanga, kushirikiana, na kujulishana kuhusu shughuli zetu. 8. Wasiliana kwa Hekima – Kila mmoja ana haki ya kuzungumza, tusikilizane.
Karibu katika group la JOPO LA WAPISHI WA MUZIKI **Jopo la Wapishi wa Muziki** ni kundi la wataalam wenye ujuzi na uzoefu wa kina katika masuala ya muziki, wakiwemo wapiga ala, watunzi, na walimu kutoka nchi mbalimbali kama Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Kongo nk. Lengo kuu ni kuwakutanisha wataalam hawa pamoja na wale wanaojifunza ili waweze kubadilishana uzoefu na kujifunza zaidi kupitia malengo mbalimbali. ### **Majukumu Makuu ya Jopo** 1. **Uchambuzi na Tathmini:** Kazi kuu ya jopo hili ni kuchambua na kutathmini kazi za muziki, hasa katika mashindano au wakati mtu anapohitaji maoni. Wataalam watapitia vigezo muhimu kama ubora wa sauti, utunzi, utendaji wa mwimbaji, na uhalisia wa ujumbe. 2. **Utoaji wa Ushauri:** Jopo litatoa ushauri kwa waimbaji na watunzi wa nyimbo kuhusu jinsi ya kuboresha kazi zao. Ushauri huu unaweza kujumuisha masuala ya kiufundi, kama mpangilio wa sauti, au mambo ya ubunifu, kama jinsi ya kuandika maneno yenye nguvu zaidi. 3. **Kuratibu Matukio:** Jopo pia linaweza kuwa na jukumu la kuratibu matukio ya muziki, ikiwemo tamasha au warsha za muziki, ambapo walimu wengi wameshashiriki. 4. **Utafiti na Maendeleo:** Jopo hili litahusika katika kufanya utafiti kuhusu muziki na historia yake. Hii itasaidia katika maendeleo ya tasnia ya muziki na kuhakikisha kwamba muziki unaendelea kukua na kuboreshwa. Kwa kumalizia, jopo hili lina jukumu kubwa la kuhakikisha ubora, ukuaji, na ustawi wa tasnia ya muziki, hususan Muziki Mtakatifu. **Kumbuka:** Kama kuna link, Pdf na Mid zake au video itatumwa ndani ya kundi, iwe kwa ajili ya kujifunza na mfano kuhusu muziki mtakatifu kwa lengo la kubadilishana uzoefu tofauti na hapo basi Nyimbo, (Link, Pdf, Mid, Video) na matangazo vitumwe Jumapili pekee au kama mtu atakuwa ameomba atumiwe.