Busca en el índice de WhatsAd de grupos de WhatsApp para encontrar los mejores.
1 resultado en el índice de grupos de WhatsAd
*🌿SHIFAA ORPHANS FOUNDATION 🌿* *"Huruma ni tiba kwa kesho bora kwa mayatima"* *Maelezo:* *Shifaa Orphans Foundation* Ni Taasisi ya kijamii isiyo ya kiserikali yenye lengo la kuwagusa watoto yatima na Wenye uhitaji kwa kuwapatia mahitaji ya msingi kama *chakula, elimu, mavazi, huduma za afya*, na muhimu zaidi, *upendo na faraja*. Mradi huu umejikita katika kusaidia mayatima walioko kwenye mazingira magumu na watu Wenye uhitaji, kwa kushirikiana na watu wenye moyo wa huruma kutoka sehemu mbalimbali kwa kufuata maadili ya kiislamu. *Malengo:* - Kuwezesha yatima kupata elimu bora - Kuwapatia mahitaji ya msingi kama chakula na mavazi - Kukuza mazingira salama na yenye fursa kwao - Kukuza mshikamano na huruma katika jamii *Mbinu za utekelezaji:* - Michango ya hiari kutoka kwa jamii - Matukio ya kijamii na kampeni za hamasa - Ufadhili na udhamini *Kauli Mbiu:* *“Huruma ni tiba kwa kesho bora kwa mayatima.”* *Jinsi ya kuchangia:* Michango yako itasaidia kununua chakula, nguo, vitabu, kulipa ada za shule, na kusaidia huduma za afya kwa yatima wote. *Njia za Kuchangia:* - 23193385 - (LipaKwaHalopesa) - 35822673 - (LipaKwaMpesa) - 0628536720 – (HaloPesa) - 0757971702 – (M-Pesa) Jina - *Azizi Ally* *Pamoja tuchangie, pamoja tufanye mabadiliko!* #ShifaaYaMayatima #HurumaNiTiba #ChangiaKwaUpendo #SaidiaYatima #TuwakumbukeMayatima #PamojaKwaMayatima #TuwateteeMayatima
Enlace de invitación verificado, detalles de miembros y opciones de publicidad en WhatsAd.