Busca en el índice de WhatsAd de grupos de WhatsApp para encontrar los mejores.
1 resultado en el índice de grupos de WhatsAd
NJONI, TUMWIBIE BWANA, (Zaburi 95:1) NA Elia muimbaji. #SUBSCRIBE ...ili tubarikiwe pamoja.🙏🙏 👇Bofya.. 👇👇👇👇 https://youtube.com/@Eliamuimbaji?si=OB6Vz7hxNWm2VdT_ "UTARATIBU NDANI YA GROUP HILI". 1_Hauruhusiwe kuweka Link zozote isipokua Link 🔗 tu za music wa dini na maudhui yanayohusiana na dini. 2_Maneno machafu au kauli mbaya/ mazungumuzo mabaya ndani ya group hayahitajiki, 3_Upendo, amani, ushauri, mafundisho kuhusu music, neno la MUNGU, kuimba, kuweka ama kuposti audio ama video zinazo fuata utaratibu. 4_Siasa, miziki ya kidunia yaani Tivoli ama bongo! Hazihusiki humu NDANI 🙏 Tubarikiwe saana kwa kufanya hivyo MUNGU wetu atazidi kutushindia zaidi 🙏🎙️🎵
Enlace de invitación verificado, detalles de miembros y opciones de publicidad en WhatsAd.