Busca en el índice de WhatsAd de grupos de WhatsApp para encontrar los mejores.
1 resultado en el índice de grupos de WhatsAd
Enlace de invitación verificado, detalles de miembros y opciones de publicidad en WhatsAd.
Malo oyenera kwa iwo ali ndi njala ya Mulungu
MWISHO UMEKARIBIYA UNABII UNATIMIYA TUBU da Matayo 24.1
📖 SHERIA ZA GROUP LETU NI📖 1.Heshima ni lazima Kila mwanachama ataheshimu wengine bila matusi, kejeli au lugha chafu. 2.Lengo la group liheshimiwe Group ni kwa ajili ya kujifunza Neno la Mungu, maombi na kujengana kiroho. Mambo yasiyoendana na kusudi hili hayaruhusiwi. 3.Epuka maudhui yasiyofaa Hairuhusiwi kutuma picha, video au ujumbe usio na maadili au usio wa kiroho. 4.Hakuna matangazo bila ruhusa Biashara, matangazo au promosheni yoyote itaruhusiwa tu kwa idhini ya viongozi wa group. 5.Hakuna siasa wala mijadala ya kugombana Mijadala ya kisiasa au inayoweza kuleta mgawanyiko hairuhusiwi. 6.Weka nidhamu ya kutuma ujumbe Epuka kutuma ujumbe mwingi usio na maana (spam), au ujumbe nje ya mada. 7.Heshimu muda wa group Kama kuna ratiba ya maombi au mafundisho, izingatiwe. 8.Usiri wa group ulindwe Yaliyojadiliwa ndani ya group yabaki ndani ya group isipokuwa kwa ruhusa. 9.Kukosoa kwa upendo Marekebisho yafanyike kwa upendo na heshima, si kwa hasira. 10.Adhabu kwa uvunjaji wa sheria *.Onyo la kwanza *.Onyo la pili *.Kuondolewa kwenye group