🌿SHIFAA ORPHANS FOUNDATION 🌿
*🌿SHIFAA ORPHANS FOUNDATION 🌿*
*"Huruma ni tiba kwa kesho bora kwa mayatima"*
*Maelezo:*
*Shifaa Orphans Foundation* Ni Taasisi ya kijamii isiyo ya kiserikali yenye lengo la kuwagusa watoto yatima na Wenye uhitaji kwa kuwapatia mahitaji ya msingi kama *chakula, elimu, mavazi, huduma za afya*, na muhimu zaidi, *upendo na faraja*. Mradi huu umejikita katika kusaidia mayatima walioko kwenye mazingira magumu na watu Wenye uhitaji, kwa kushirikiana na watu wenye moyo wa huruma kutoka sehemu mbalimbali kwa kufuata maadili ya kiislamu.
*Malengo:*
- Kuwezesha yatima kupata elimu bora
- Kuwapatia mahitaji ya msingi kama chakula na mavazi
- Kukuza mazingira salama na yenye fursa kwao
- Kukuza mshikamano na huruma katika jamii
*Mbinu za utekelezaji:*
- Michango ya hiari kutoka kwa jamii
- Matukio ya kijamii na kampeni za hamasa
- Ufadhili na udhamini
*Kauli Mbiu:*
*“Huruma ni tiba kwa kesho bora kwa mayatima.”*
*Jinsi ya kuchangia:*
Michango yako itasaidia kununua chakula, nguo, vitabu, kulipa ada za shule, na kusaidia huduma za afya kwa yatima wote.
*Njia za Kuchangia:*
- 23193385 - (LipaKwaHalopesa)
- 35822673 - (LipaKwaMpesa)
- 0628536720 – (HaloPesa)
- 0757971702 – (M-Pesa)
Jina - *Azizi Ally*
*Pamoja tuchangie, pamoja tufanye mabadiliko!*
#ShifaaYaMayatima
#HurumaNiTiba
#ChangiaKwaUpendo
#SaidiaYatima
#TuwakumbukeMayatima
#PamojaKwaMayatima
#TuwateteeMayatima