TWINSTAR VIJANA & JAMII | TOUR'S & PARTIES | CHARITY & MASTORY🇹🇿
🤣 STORY | CHARITY'S | TOUR & PARTIES | ✨ VIBES | 🌍 TANZANIA
Karibu sana kwenye TWINSTAR WORLD FRIENDS –
Group la kufurahia, Tour & parties, kucheka, ku-connect na kugusa jamii.
👑 SHERIA KUU – LOVE & PEACE
📛 Jitambulishe (Jina + Location + Picha)
🚫 Hakuna link yoyote wala matangaza omba link ya grpup maalum la biashara
🚫 Usi Mantion group | mentioned only kwa matukio ya Twinstar kwaajili ya wanafamilia wote
🚫 Hakuna matusi, kejeli, ubaguzi au lugha chafu
🚫 Stickers/Memes zisizo na maadili hazitakiwi
📵 Usikae kimya muda ote utaondolewa
🤝 Ugomvi binafsi → malizana inbox / admin
🤣 Leta mada story
🥰 Kuchangamka kwa group kunatokana na wewe
🪀 Kuwa huru kwa story muda wote 🙏❤️
💬 Nini kinaendelea hapa?
• Story, jokes & vibes 🤣
• Urafiki, love & connections 💞
• Fursa & elimu kwa vijana 🌍
• Events, Tour & Party za Twinstar 🎉
• Charity kusaidia jamii ❤️
• Kukuza vipaji & kuleta fursa ✨
👉 Kufahamu zaidi kuhusu TWINSTAR
Tembelea pages zetu instagram:
@mwanzafashionweek_and_talenttz
@africanyouthgalanight
@twinstartour_and_parties_
@lakezonemodelingagencytz
@visioncharityfoundation
@twinstarfashioncompanylimited. https://www.instagram.com/twinstarfashioncompanylimited?igsh=OGx3ZTJ0bXoycW9o&utm_source=ig_contact_invite
Inspiring Talent, Creating Opportunities, Building Futures.
Kwa changamoto | Maoni | Huduma Muone admin
_Save namba hii 0759764246_ ili kuwa mwanafamilia na kupata updates za tour, Charity, Modeling, events, na fursa.
🌟 Hii siyo group tu – ni FAMILIA.
Sehemu ya Twinstar Fashion & Entertainment Tanzania
Tunakuza vipaji, tunaunda fursa, tunajenga urafiki wa kudumu 💫