The Final Warning...Onyo La Mwisho.
Hili ni group maalumu lililoundwa kwa lengo la kujifunza Neno la Mungu-Ukweli wa leo, utakaotuandaa kusimama na imara katika siku ya Bwana. Karibuni wote, Kristo anawapenda sana.
ONYO: MAMBO HAYA HAYARIHUSIWI KABISA.
1. MATANGAZO YASIYOHUSIANA NA DHUMUNI LA GROUP, HAYARUHUSIWI.
2. LINK ZA NYIMBO, VIKUNDI, SOLO AU KWAYA ZINAZOTUMIA MDUNDO.
3. LINK ZA MAGROUP YA WHATSAPP YANAYOHAMASISHA NGONO AU UZINZI NA UASHERATI, (KWA KIFICHO CHA, “SAYANSI YA TENDO LA NDOA”)
4. MADA ZA MABISHANO
5. STORY ZA KAWAIDA ZINAZOHUSISHA UTANI, MZAHA NA MASIHARA.
6. MATANGAZO YA BIASHARA.
7. LUGHA YA MAWASILIANO NI KISWAHILI NA KWA NADRA SANA KIINGEREZA, ZINGINE HAZIRUHUSIWI ISPOKUWA KAMA ZITATAFSIRIWA KWENDA KISWAHILI.
Na mengine, itategemeana na namna Bwana atakavyoongoza kwa hekima yake.
Nia yangu ni kwamba, kupitia media hii au group hili watu wajifunze ukweli utakaowasaidia kuokolewa...Bwana atusaidie katika wakati huu kusimama imara katika Ukweli, Yesu yu mlangoni wapendwa, tujiweke tayari. Tusichezee fursa ambazo huja na kupotea amabazo Mungu anatupatia ili kutusogeza miguuni pa Kristo. Ninawapenda wote....karibuni sana.